U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Wadada hupenda bad boys pia.. afu usinitangaze tena humu😂

And punguza majivuno.. punguza perfectionism.. punguza kujiona wewe bora zaidi kuliko wengine.. maybe it was the thing that cost you.

Anyway inamaana iyo 'pisi' haijui kuset muda mpaka akuombe au alikua anajilengesha?
Na ulijuaje kuwa ni text ya uyo 'bad boy'?
Hiyo text iliingia nikiwa na simu nayeye alikuwa ndani mwao sasa kilichonifanya nijue ni jina la mshikaji
 
Bora ww mkuu mie jobless lkn nawala sina issue, juzi tu nimekutana na chombo kimoja cha chuo bonge la tarko road, nilivaa smart nikam approach nikampiga fix za maana akaingia line, kesho yake tukapanga aje hom, namaanisha bado nambonji kwa wazee [emoji23]

Alikuja hom, moja kwa moja magetoni nikampa show mzee ya maana, tulivyomaliza alivyotoka nilimpa buku tu ya nauli, na blocking juu nikamblock kwny cm[emoji23], Sasa we Leta telemundo

Women love them, f**k them, leave them
Daah...nimekuelewa sana mkuu
 
Kua Kwanza . Ukiwa smart na ukamake maisha utakua unachagua Nani wa kumla leo. 25 yrs ....u ar too young . Usiige maisha ya kujikatia tamaa ya mjini.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Usikute jamaa hadi analalamika hako kabinti kameumbika ameshaona pote Ila kamezidi uzuri wenzie, ukipiga boko mpira hapo lazma ujutie mzee [emoji23]
Daah..mzee ni pisi ya kwenda asikwambie mtu
 
Psychology 101.

It's called Selection Bias

A man is more attractive to another woman, if another woman has already selected that man
A single or un married Men, have no such benefit of having been pre-selected

Ni flaw kwenye thinking algorithm ya wanawake
Huyo dem kamchagua huyo bad boy kwa sababu ya historia ya madem wengi alio nao

So huyo dem, Hana haja ya kumchunguza au ku apply reasons kwanini awe nae

Kam pre-select
Sio kwa sababu wewe ni nice guy, au huvuti bangi
Ni bug, tu kwenye reasoning ya wanawake

Huyo Muhuni kutoka tandale, atabaki kuwa Mshamba na loser tu, thus why hana uwezo wa kudumu na Mwanamke mmoja

Cause hawaoni sababu ya Kuwa nae
Nimekuelewa brother ahsante
 
achana navidada vinavyo vaamadela vinakulana nawavuta bangi wenzao vinaliwa mtungo ivo sijuikamawee unaweza mtungo wahuniwanaita utumbondizi wahuni wanawala Hadi utumbo
Hivo nilishavikataa kitambo mkuu huyo wala hakuwa napigo hizo
 
Aisee back in days niko chuo kuna demu mmoja mkali kinyama, kitu paperwhite, kila nilikua nikikutana nae nikitaka kujaribu kupiga sound ananiambia you're trying to make stories anasepa, nami kwa unyonge najikongoja nasepa, mm nilikua naonekana mstaarabu na mpole kwa kuniangalia, kumbe hakujua[emoji1]
baadae nikaona miyeyusho nikampotezea, nikapiga sound madem wengine wawili pale chuo, wote wakajaa, nikawa najipigia kwa interval, kumbe alijua bhana kwamba huyu mwamba ni mafia ni vile tu sura haiendani na matukio yake
baada ya muda fulani, nikawa nishagraduate nipo naishi somewhere nakula zangu life na zile toto zangu ratiba zao nishawapangia kabisa, ebana ee kuna siku akanitumia mesej mwenyew, 'eti uko wapi'
nikamwambia gheto, basi akasema 'nataman nije kukusalimia', nikamwambia karibu
after 1hr akaniambia amefika, nikampokea, tumekaa sebuleni story chache vitendo vingi(staki shobo), huku ukutani flat screen ikituchangamsha kwa kitu cha Dstv, to make story short nilipiga yule demu(rough sex), nlimshusha kwenye sofa mechi ikapigiwa kwenye zulia chini, bao mbili, la tatu nikampeleka chumbani,(niliuza mechi lakini baada ya game nlimpima akawa yuko fresh, maana mm ni mobile hospital[emoji1]) baadae jioni alirud chuo, akanitumia txt, yaan unavyoonekana na ulichonifanya leo sikudhania kama wewe ni mwamba hivyo, kumbe ndiyo maana fulani kakung'ng'ania,(alimjua mmoja kati ya wale mademu zangu maana alikua classmate wake), baadae nilimla mara ya pili then nikamtema(demu mzuri ufundi kidogo sana) japo ananisumbua mpaka leo huu mwaka wa pili,

Slogan ya mwenye nacho huongezewa ina apply sana kwa wanawake, ukiwa na mademu zako unajipigia unapotaka ni ngumu sana kukataliwa na demu mpya, sijui ni damu inakua imechafuka( nafikri pia unakua huna cha kupoteza coz utelezi wa uhakika unao), na mwanaume muhuni ni ngumu kukataliwa na demu kwa kua yeye huenda straight kwenye point wakati wewe mara umwambie mkale samaki samaki, mara mwende Coco, mara muangalie Squid game(demu katokea kibaha huko ww unamchanganya tu na umjini wako), wakat hata mzigo hujala, kula kwanza mzigo then hizo offer na showoff zitafuata[emoji1]
Daaah..mkuu story yako imenipa funzo kubwa sana ahsante
 
Demu akupe simu umsetie Saa kwel?kweli inaingia akilini hiyo wakati saa zinajiseti automatically?

Ok hadithi yako kuna kitu kimoja tu naweza kukujukisha

Wanawake hawapendi wanaume wakimya sijui wapole sijui nn..wanapenda sana wanaume wenye mambo mengi mengi

Yan mwanamme anaepapatikiwa au mwenye madem wengi ni rahisi kumvutia mwanamke kuliko mwanamme asie na hayo mambo. Sijui umenielewa

Ni asilimia kubwa,ila si wote
Anakitoch mkuu tena vile vya siku nyingi na pia nafikiri akuset outomatic time by the way nimekuelewa mkuu
 
Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in Kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.

Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na shughuli zangu, madem wengi wamekuwa wakijilenga sema huwa atufiki mbali tunaachana nadhani kutokana na tabia zangu za kuwa cool sana.

Sasa juzi kati kuna mpangaji mwenzangu alimleta mdogo wake mtoto mmoja mzuri sana kutoka kibaha huko ni mdada mkubwa tu sema ni mzr balaa basi yule dem akaanza kuniletea mazoea kibao yani dem alikuwa kanielewa mbaya nikaona bac hapa tayari nishaokota dodo chini ya mnazi bac mimi na unice guy wangu nikawa najipanga namna ya kuanza kupeleka mashambulizi nadhani mnajua introvert huwa atukurupuki.

Sasa tukiachana na hilo pia kuna mwamba mmoja vyumba vyetu vipo jirani sana mshikaji ni bad boy na muonekano wake wa kishamba tu yani ni mtu ambae namzidi kila kitu kuanzia muonekano uvaaji mpaka maisha kwahiyo alikuwa anipi presha hata kidogo ni mtu wa tandale huko sema tu kaja kuishi sehem iliyoostaarabika, bac huwa anakuja pale home na wahuni wanakula bangi za kutosha na pombe ngumu k-vant na konyagi kwa sana bac jamaa huwa analeta madem pale gheto kwa siku anabadilisha hata watatu sometime anaingiza hata wawili kwa mpigo sometime wanakuwa washkaji watatu na madem watatu bac kinachoendelea humo ndani balaa harufu ya bangi na madem wanapigwa shipa mpaka nje huku watu wanasikia.

Basi bhana kwa tabia zile za mshkaji ndio nikazidi kuwa na amani kwamba jamaa kwa anachokifanya bac awezi kumchukua dem yoyote hapa ukizingatia mimi ni mstaarabu sana yani hata kuingiza dem pale gheto sijawahi bac hapo nikaamini kwamba nina nafasi kubwa ya kumnasa huyu dem mpya aisee kumbe nilikuwa najidanganya maana yule dem mazoea ya kaanza kupungua nikajaribu kuyaforce tukawa fresh ila nlivomtokea dem akachomoa halafu akanikataa mazima aisee niliumia sana.

Sasa leo muda wa saa mbili kasoro usiku huu nimetoka kwenye harakati zangu dem akanipa simu yake nimsetie muda sasa wakati naset c ikaingia text ya yule mwamba jirani yangu bad boy mtoto wa tandale anamwambia dem yeye tayari ashafika lodge flani manzese aisee niliingiwa na baridi yani sikuamini macho yangu.

Nikawaza hv huyu dem amekosa nini kwangu mpaka aende kwa muhuni kama huyu yani mimi na usmat wangu kanipiga chini kaenda kumkubalia mvuta bangi muhuni mzee wa kubadilisha madem na huyu dem anajua fika jinsi jamaa alivyo na madem wengi na bado kamkubalia pamoja na uhuni wake mimi mtu smart ambae sina tabia hizo nimepigwa chini aisee yani hapa nilipo nimechoka nimemrudishia cm yake na tayari muda huu yuko njiani kwenda kutinduliwa na muhuni. Nimeumia sana kwakweli sijui sisi nice guy huwa tunashida gani maana huyu nikama dem wa 8 namkosa kizembe kutokana na atitude zangu.

Naombeni msaada nifanyeje niachane na huu u nice guy maana sioni faida zake kwenye kutafuna mbususu zaidi ya hasara tu nikikumbuka yule dem alivyomzr et anaenda kutinduliwa na yule muhuni muda mfupi ujao nazidi kuchanganyikiwa
Shida kubwa ni kwamba mnadhani muonekano pekee ndo unaongea... Na huwa mnadhani mademu wanashoboka na muonekano.. Wengine wanawataka ma-bad boy ujuwe
 
Back
Top Bottom