Pamoja na yote lkn at least sheria zinafuatwa.Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?
Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....
Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...
Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...
Wako kati ya wale wa4 wanatembea mitaani furiiiii[emoji3][emoji3]
Wajue wazungu....
Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?
Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Kuliko walio taka kumuua Lissu nje ya eneo linalo lindwa masaa 24
Wakiwaponda mnawaita mabeberu wakiwapa mkopo mnakaa pale lumumba na kuwaita wadau wa maendeleo huku mkikata viuno kama wanawakeMabeberu wamekomalia ya watu ya kwao yamewashinda
Mkuu Quinine naona umeamua kujishusha hadhi kubishana na Form 4 failures ,buku7 wa Lumumba!Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Pamoja na yote lkn at least sheria zinafuatwa.
Hujawahi kutembea nchi za watu wewe.Bashite mara ya mwisho kwenda US ni lini achana na boss wake.
Ndio kwanza anazidi kunenepa,kwanza ilitakiwa mshuru maana kodi za wananchi zingeendelea kupotea hovyo.badala ya kuona ni kama hasara.
Time is not yet ripe for police to denounce unlawful orders! Peoples' power is the one that will pave the way for policeMbona majirani zetu waanauwezo wa kugomea amri ambazo si halali? No, lazima nao wabebe sehemu ya huu ujinga na ujuha unaondelea
Bashite kashawahi.lakini hakulalamika baada ya hiyo ban.Hujawahi kutembea nchi za watu wewe.
Mkuu Mystery ,juzi nilitembelewa na rafiki zangu wawili kutoka "Ulitsa Miklukho-Maklaya", mmoja ni Mcongoman na mwingine ni Msudani.
Wamesikitika kwa yanayoendelea huko Tanzania mpaka hatua ya kuuliza ni nini kimeipata Tanzania ya Mwalimu!?
Kakamatwa sasa Usa wanaingia vipi? Au msaad wa mabeberu waje wamsaidie. Tweet yenyewe ya uongo .Kuna propaganda gani hapo, kwani Zitto hakukamatwa.
Au waliomuua MwangosiKabisa... inanuka kuliko waliomuua Floyd..
Imasikitisha sana
Nakuelewa, kwa Tanzania kiki za kisiasa za kina Sirro ni kutofanya uchunguzi na kuwapandisha vyeo polisi wahalifu.Hakuna sheria inayofuatwa boss...
Unyama wa hiyo nchi hujaujuwa....
Hiyo ya Floyd ni kiki za kisiasa...
Ulitaka alalamike wapi ubalozini.Bashite kashawahi.lakini hakulalamika baada ya hiyo ban.
Waliomuua Acquilina wako wapi? Waliomteka Mo wako wapi waliomteka Mdude wako wapi? Na waliompoteza Ben na Azori wako wapi??Kabisa... inanuka kuliko waliomuua Floyd..
Imasikitisha sana
Nakuelewa, kwa Tanzania kiki za kisiasa za kina Sirro ni kutofanya uchunguzi na kuwapandisha vyeo polisi wahalifu.
Waliomuua Acquilina wako wapi? Waliomteka Mo wako wapi waliomteka Mdude wako wapi? Na waliompoteza Ben na Azori wako wapi??
Ntakwambia Waliomuua Floyd mpak sasa wako mahabusu serikali yenyewe imewafu gulia mashtaka ya mauaji muda si mrefu wataning'inia kwenye kamba.
Well noted, then we must all stand for what is right! Time will tellTime is not yet ripe for police to denounce unlawful orders! Peoples' power is the one that will pave the way for police
Kwa nini aishie gerezani,huyo tunapaswa kumnyonya mate au kumpumlia kichogoni badala ya kumpeleka jela kula ugali wa bureKila nikimwangalia jiwe naishia kumuona akimalizia maisha gerezani na hawa wapambe mbuzi wake wakiendelea na maisha yao kwa kubadili mwelekeo kama sio wao vile.
Hana muda huo kabisa.Ulitaka alalamike wapi ubalozini.