Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Chadema mnaomtetea ma ccm wasiomkamata inatofauti gani boss??

Shame sh*t[emoji3][emoji3]
Hao Chadema wanaomtetea si wamewaambia kama ana kosa wamkamate, ina maana Chadema imewazidi nguvu polisi na mahakama.
 
Wenyewe wanajua chaka la wezi ni chadema..
Waguswe muandamane...

Stupid enough msimu wa kuwapigia deki barabara umefika[emoji3][emoji3]
Hao Chadema wanaomtetea si wamewaambia kama ana kosa wamkamate, ina maana Chadema imewazidi nguvu polisi na mahakama.
 
Na waliomuua mwangosi
Polisi waliomuua Floyd tayari wamefunguliwa mashitaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
 
Ni upumbavu na uzembe kufikiria Siasa za Marekani kuhusu Tanzania, wameliwekeza kwa Lissu. Apana Lissu hafikii hata chembe ya mchanga, katika mipango ya USA na nia zao za kisiasa Tz.

Ukweli ni kuwa kwa bahati mbaya sana serekali ya chama changu, limeingiwa na uoga wa ajabu, na imekuwa serekali ya visasi. Hatujui tuelekeapo.

Cha kusikitisha ni kuwa hakuna upinzani wa maana hata kidogo, wapo vijana wazuri upunzani, lakini vyama vyao au tamaa zao zinawafanya wasione picha kubwa. Hivi vyama havitaungana kwa wivu na uhasidi, na kutoaminiana baina yao.

Chadema wanapigana vijembe wenyewe kwa wenyewe, na hawatamchagua yule aliyekuwa na mvuto, leo mtu kama Msigwa, Mbowe nk.. wanataka kushindana na Lissu ambaye wanajua ndio mvuto mkubwa ndani na njee ya chama.

Viongozi wa chadema baadhi yao huu ndio wakati wao wa kutengeneza pesa, sintashangaa kama kuna mazungumzo na MEMBE na bado wanavutana kuhusu bei ya kiti cha kupeperusha bendera. Membe anaweza walipa hadi Billion mbili, moja ya chama na nyingine yao.

Act wanajitahidi sana, lakini hawapendwi na viongozi wa chadema. Lakini wakikaa kikao kati ya Act na Chadema na wakakubaliana kiukweli, na wasije na eti tutawaachia Zanzibar nyie achieni bara, watakosa hekima, Chadema hakiko ZnZ kabisa hata diwani hawapati, kwa hiyo sio bargaining chip.

Leo hawa wakiungana, kwa uraisi watapata kura nyingi za wana ccm tusioridhika na yanayoendelea ndani ya chama chetu.

Kaeni kikao muje na hekima na busara, Uraisi na Unaibu Raisi uwe kati ya Zitto na Lissu, ni ticket ya uhakika.
 
Uchaguzi huru na haki?.?
 
Pumbavu unadhani Tanzania tu ndiyo kwenye wanyama na madini? Ujinga wako ni zaidi ya kipaji!
 
Mambo mengine kuyatetea inabidi uwe kichaa. Unawezaje kumkamata kiongozi wa chama kwa kuongoza kikao halali cha chama chake?!
 
Hii imekua nchi chafu sana sana inanuka harufu ya damu
 
Povu la nn?

Wakikutembeza kuona wanyana wanasema from Tanzania.

Matusi ni kipaji chetu sisi manyumbu?
Pumbavu unadhani Tanzania tu ndiyo kwenye wanyama na madini? Ujinga wako ni zaidi ya kipaji!
 
I wonder why U.S delaying interference in Bongo. As I remember, you taught Libya, Iraq etc good behavior. Why not BONGO?
 
I wonder why U.S delaying interference in Bongo. As I remember, you taught Libya, Iraq etc good behavior. Why not BONGO?

Has the situation in Iraq or Libya improved today after the intervention of your gods?!
 
Has the situation in Iraq or Libya improved today after the intervention of your gods?!
Improvement is another case my young brother but I do implore U.S to interfere in order to teach your god how to behave than oppressing people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…