Uchaguzi 2020 U.S. Senate: Disturbing 'trend' of opposition party leaders in Tanzania being arrested leading up to Oct. Elections

Hawa nao wanashindwa kushughulikia mambo yao wanabaki kuifuatilia Tanzania tu. Huyu Seneta na wengine kadhaa wana hisa nyingi sana kule Barrick na ndiyo maana wamekuwa ni wapiga kelele wakubwa kuhusu Tanzania kila siku kutokana na kukabwa koo kwenye faida za Barrick. kama kweli wanachotaka ni haki kwa wanasiasa, wasingekaa kima wakati wakati Dr. Kiiza anateswa huko Uganda, au wakati Bobi Wine aliposhikwa na kuvurugiwa mkutano wake na polisi huko Uganda

Mwaka 2013 polisi walipiga mabomu mkutano wa Dr. Slaa na kuumiza watu sana lakini hawakusema lolote; wameanza kuwa wanatoa matamko kuhusu Tanzania kuanzia pale makinikia yalipozuiwa tu.
 

Kichuguu unayosema ni kweli, lakini utawala huu unawapa mwanya wa kutoa hayo matamko unnecessarily. Hivi kweli kulikuwa na haja kumkamata zito?

Mimi nashindwa hata kuamini kwamba matendo haya ya polisi yana baraka za mkuu wa nchi.
 
Kichuguu unayosema ni kweli, lakini utawala huu unawapa mwanya wa kutoa hayo matamko unnecessarily. Hivi kweli kulikuwa na haja kumkamata zito?

Mimi nashindwa hata kuamini kwamba matendo haya ya polisi yana baraka za mkuu wa nchi.
Polisi wengi kwenye maeneo yetu haya hawaijui profesion ile, wanadhani kuwa polisi kazi yake ni kutumia nguvu yoyote kulinda maslahi ya watawala hata bila kutumwa badala ya kulinda usalama wa raia. Hili ni tatizo lililoko polisi tangu siku nyingi sana wala halikuanza leo, na siyo kweli kuwa rais anakuwa anaangalia Zitto kaenda wapi kisha anapiga simu kwa mkuu wa kituo husika kuamuru zito akamatwe, siyo kweli kabisa. Kuna wakati polisi waliuwa watu wengi sana pale Mwembechai na kule Pemba bila ridhaa ya rais Mkapa kwa sababau kama hizi hizi za kumkamata Zito, Mkapa akaomba radhi. Wakati wa Nyerere polisi pia waliuwa watu wengi huko Shinyanga ikapelekea Mwinyi kufukuzwa uwaziri wa mambo ya ndani, kwa hiyo polisi wetu bado wanatakiwa wapikwe vizuri. Polisi wamekuwa wanatumia mamlaka yao vibaya sana, na hata marekani pia tunajua maandamao yanayoendelea nchi nzima sasa ni kwa sababu ya polisi kutumia mamlaka yao vibaya. Sasa hawa wanataka kufanya hilo liwe ni tatizo la kisiasa na kulirusha hadi kwenye diplomatic levels ambo ni upuuzi tu. Bado wanaumizwa sana na makinikia.
 

Basi walau wakuu nao wawe wanatoa hata kauli za kinafiki kukemea mambo haya.
 
So what ? You also want to disturb our country.Your puppets will never be tolerated and wil face it if they make troubles.You are advised to concentrate with your home business .You have Corona ,racism and other evils to sort out.We are only interested in your money and nothing else.
 
Hapa Tanzania wangapi wamepotea na wangapi wamejeruhiwa na nani amefikishwa mahakamani kama sio kupandishwa vyeo. Acha unafiki, ni upumbavu tu kuwa mnafiki.
 
Sijazidi upumbavu wako na wa aliyekuleta duniani.....
Na sijakuzidi unafki wako wa kurukia dudu i mean hoja kwa mbele....[emoji3]
Hapa Tanzania wangapi wamepotea na wangapi wamejeruhiwa na nani amefikishwa mahakamani kama sio kupandishwa vyeo. Acha unafiki, ni upumbavu tu kuwa mnafiki.
 
Naona kama vile US wamejenga radar ya kuichungulia Tanzania na watu wake tu. Beberu akiona jiwe la leizer nyongo zinapasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…