Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hawa nao wanashindwa kushughulikia mambo yao wanabaki kuifuatilia Tanzania tu. Huyu Seneta na wengine kadhaa wana hisa nyingi sana kule Barrick na ndiyo maana wamekuwa ni wapiga kelele wakubwa kuhusu Tanzania kila siku kutokana na kukabwa koo kwenye faida za Barrick. kama kweli wanachotaka ni haki kwa wanasiasa, wasingekaa kima wakati wakati Dr. Kiiza anateswa huko Uganda, au wakati Bobi Wine aliposhikwa na kuvurugiwa mkutano wake na polisi huko UgandaU.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to Oct. elections. :- Sen. Jim Risch, R. Idaho. Committee Chairman.
View attachment 1488178
========
Kwa utetezi wowote ule tutake tusitake vitendo hivi vinaleta picha mbaya kwa nchi yetu.
Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Mwaka 2013 polisi walipiga mabomu mkutano wa Dr. Slaa na kuumiza watu sana lakini hawakusema lolote; wameanza kuwa wanatoa matamko kuhusu Tanzania kuanzia pale makinikia yalipozuiwa tu.