U-single sugu (loneliness epidemic), ni janga linalokua kwa kasi miongoni mwa vijana

U-single sugu (loneliness epidemic), ni janga linalokua kwa kasi miongoni mwa vijana

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Za weekend

Sometimes u-single ni kitu kizuri, ila u single sugu ndo ninaouzungumzia hapa/au kwa namna ingine naweza iita (loneliness epidemic) among vijana wa kike na wa kiume ni kubwa, vijana wengi wakiwa kwenye umri wa kuoa au kuolewa..hawana kabisa watu wa kufunga nao pingu za maisha, saa ingine inabidi familia ziingie kati kutaftia vijana hao wachumba, vijana ambao kwa nje hawana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano.

Mtaani kwenye utafiti wangu binafsi naona watu wengi sana ni single mother au single father kama sio hivyo unakuta mwanaume ana umri juu ya miaka 30 hana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano ila ni single na hana mtoto kabisa, wengine wana kazi nzuri, ila kupata mke inakua mtihani mkubwa sana, vivyo hivyo kwa wadada pia wengi wapo single kabisa au ni single mothers.. walioko kwenye mahusiano ya maana ambayo ni healthy ni wachache..

Hili janga ni kama janga la ukosefu wa ajira
 
😎
Screenshot_20251012-171021~2.jpg
 
Ndugu zangu kataa ndoa, huyu nae naona ni mjumbe wa mauaji ya kimbali, au pengine ameshima smart water pale kitambaa cheupe, achana na uhai wa Azam, kichwa kimemtinga ameamua kuja kutushauri uzumbukuku, kuhusu kupata watoto vijana tunaweza ila hatutaki kutengeneza tatizo kubwa zaidi, single mother waliopo nchini wanatosha, ya nini kuendelea kuongezea dhambi zisizo na faida kabisa.
 
Vijana wengi wamekataa tamaa. Na hawaoni thamani ya kuishi.
Pressure kubwa ya wazazi kwenye masomo na kufanya mahusiano kuwa kosa wakati wa teenaging ni bomu ambalo majuto yake ni makubwa miaka ya 20s to 30s. Unahisi kila kitu unakosea, na watu hawakutaki. Unaishia kuwa single milele.

Wazazi wawasaidie vijana, msiwaache wahangaike
 
Kila zama na kitabu chake,maisha yanabadilika,Dunia inabadilika,nothing stays the same,

Ndoa za siku hizi zimekua ni kama kujiingiza jahanamu coz kila mtu ni mjuaji,heshima kwa mume au heshima kwa mke vimepotea kabisa,utandawazi nao umechangia kwa kiasi kikubwa sana,

Binti au Mvulana kupata mwenza wa kulana nae kisha kila mtu ashike njia yake,limekua ni jambo la kawaida sana sio kama zamani,hivyo vyote vinapunguza umuhimu wa mtu kutaka kuoa au kuolewa,

Sababu zipo nyingi sana ila hizo ni kwa uchache tu.
 
Vijana wengi wamekataa tamaa. Na hawaoni thamani ya kuishi.
Pressure kubwa ya wazazi kwenye masomo na kufanya mahusiano kuwa kosa wakati wa teenaging ni bomu ambalo majuto yake ni makubwa miaka ya 20s to 30s. Unahisi kila kitu unakosea, na watu hawakutaki. Unaishia kuwa single milele.

Wazazi wawasaidie vijana, msiwaache wahangaike
Nikiwa darasa la kwanza nilifumwa na kabinti ka jirani tunataka tufanye yetu. Kipigo nilichopata ile siku kiliniathiri kisaikolojia na kukaa mbali sana na wasichana.. nimekuja kuanza kuwa na usuhusiano chuo mwaka wa 2
 
Back
Top Bottom