U-single sugu (loneliness epidemic), ni janga linalokua kwa kasi miongoni mwa vijana

Za weekend

Sometimes u-single ni kitu kizuri, ila u single sugu ndo ninaouzungumzia hapa/au kwa namna ingine naweza iita (loneliness epidemic) among vijana wa kike na wa kiume ni kubwa, vijana wengi wakiwa kwenye umri wa kuoa au kuolewa..hawana kabisa watu wa kufunga nao pingu za maisha, saa ingine inabidi familia ziingie kati kutaftia vijana hao wachumba, vijana ambao kwa nje hawana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano.

Mtaani kwenye utafiti wangu binafsi naona watu wengi sana ni single mother au single father kama sio hivyo unakuta mwanaume ana umri juu ya miaka 30 hana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano ila ni single na hana mtoto kabisa, wengine wana kazi nzuri, ila kupata mke inakua mtihani mkubwa sana, vivyo hivyo kwa wadada pia wengi wapo single kabisa au ni single mothers.. walioko kwenye mahusiano ya maana ambayo ni healthy ni wachache..

Hili janga ni kama janga la ukosefu wa ajira
Siku hizi hamna mtu single kwa asilimia zote, wengi wao wapo single ila wanapiga ndondo kama kawaidi, huku wakiendelea kutafuta usajili wa kudumu(ndoa),ila wanakulana sana kimasihala, bila kusahau viporo na maex.
 
Hivi hii ni nini? Naiona sana kwenye comments IG wananchi wanacomment 🤔

Ila kama niko nyuma sana usinicheke tafadhali 😄😄
Mi mwenyewe nilikuwa naiona sielewi, Nikaenda kutafuta ticktok hadi nikaelewa, Nilicheka aisee mbaba mjinga! 😂
 
Za weekend

Sometimes u-single ni kitu kizuri, ila u single sugu ndo ninaouzungumzia hapa/au kwa namna ingine naweza iita (loneliness epidemic) among vijana wa kike na wa kiume ni kubwa, vijana wengi wakiwa kwenye umri wa kuoa au kuolewa..hawana kabisa watu wa kufunga nao pingu za maisha, saa ingine inabidi familia ziingie kati kutaftia vijana hao wachumba, vijana ambao kwa nje hawana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano.

Mtaani kwenye utafiti wangu binafsi naona watu wengi sana ni single mother au single father kama sio hivyo unakuta mwanaume ana umri juu ya miaka 30 hana kasoro yoyote kubwa ya kimuonekano ila ni single na hana mtoto kabisa, wengine wana kazi nzuri, ila kupata mke inakua mtihani mkubwa sana, vivyo hivyo kwa wadada pia wengi wapo single kabisa au ni single mothers.. walioko kwenye mahusiano ya maana ambayo ni healthy ni wachache..

Hili janga ni kama janga la ukosefu wa ajira
Siku hizi hamna mtu anakuwa single asilimia zote, kwani access ya ngono ni rahisi sana, unaweza kununua,kula kimasihala kwa kuzoeana.Siku hizi watu wapo single ila wanapiga ndondo,wakisubiria usajili wa kudumu (ndoa).Sijui Single mara Celibate uzushi mtu watu wanakamuana sana.
 
Celibacy ina wezekana mzee, majukumu na nia ya utulivu tu.
 
Nikiwa darasa la kwanza nilifumwa na kabinti ka jirani tunataka tufanye yetu. Kipigo nilichopata ile siku kiliniathiri kisaikolojia na kukaa mbali sana na wasichana.. nimekuja kuanza kuwa na usuhusiano chuo mwaka wa 2
Hee kumbe wewe wakiume
 
Back
Top Bottom