U.T.I sugu mwaka wa pili huu

Mkuu nenda hospital moja ipo pale kivulini near mlimani city, inaitwa megra clinic. Bila shaka utapona mkuu, jamaa hawabahatishi. Kuna mtu wa karibu namfahamu alikua na tatizo kubwa na sugu zaidi ya lako, na aliponea pale, kabla ya hapo alishazunguka hospital kubwa kibao
 
Ni usaha ulikuw unatoka baadae maumivu wkt wa kukojoa
Mkuu hiyo hali hata mimi ilikuwa imenitokea wiki tatu zilizopita, nilienda hospital nilichomwa sindano na dawa za kutumia kama siku tatu...nne hivi, ila nikafanya ujinga nikakutana tena na yule manzi nilitumia mpira ila kwa bahati mbaya wakati wa kujifuta sikuwa makini...asubuhi yake hali ikajirudia tena, nikaenda kwa duka la dawa nikapewa dawa flani hivi kwa siku kidonge kimoja kwa siku tatu, tangu huo mpaka leo nipo fitiiiiii.....

Kwa sasa naianza X-mass ndo kwanza nimefika viwanja, nikirudi nyumbani nitacheki jina la ile dawa katika box lake then ntakutumia mkuu ili nawe ujaribu.

Pole sana maana najua kwa jinsi gani unakosa amani na raha ya kugegeda hasa kunyonywa dushee.... Usijali, soon you will get well
 
Inaitwaje iyo dawa
 
Saw mkuu nmekusoma
 
Hahahhaa hahahhaa....ngoja Sasa wadada poa wenu wabebwe mje mlie lie hapa....

Pole ndugu ila jitahidi kufanya na vipimo vingine kama figo maana Kuna ndugu yangu alihangaika sana na U.T.I mwisho wa Siku ikagundulika figo zimefail
Upo sawa hyo ni hydronephrosis mm nimeumwa nikajuaga uti lakin nilipopiga ultrasound ikawa kidney ina maji
 
Walikuambia una nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…