Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Tatizo lilikuwa nn mpaka ukaende hospitaliCipro doxy na sindano za powersef
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lilikuwa nn mpaka ukaende hospitaliCipro doxy na sindano za powersef
Hukujui kama ni uti mpaka ulivyooenda hospital.......kabla ya kwenda hospitali ni dalili zipi ulikuwa unahis mpaka ukaenda huko.? Usione uvivu kujibu mkuu kuna kitu nataka nikuambieU .t .i
Soma vizur swali langu.....ni complains zipi zilikupeka hospitaliHosptali waliniambia ni u.t.I wakanipa dawa lkn ckupona
sindano ya kushonea viatu au?Wambie wakuchome sindano fullstop,inagharimu kama forty hivi
Hukuwa NA homa?Mkojo uliikuwa mzito na maumivu wkt wa kukojoa
Mkuu hiyo hali hata mimi ilikuwa imenitokea wiki tatu zilizopita, nilienda hospital nilichomwa sindano na dawa za kutumia kama siku tatu...nne hivi, ila nikafanya ujinga nikakutana tena na yule manzi nilitumia mpira ila kwa bahati mbaya wakati wa kujifuta sikuwa makini...asubuhi yake hali ikajirudia tena, nikaenda kwa duka la dawa nikapewa dawa flani hivi kwa siku kidonge kimoja kwa siku tatu, tangu huo mpaka leo nipo fitiiiiii.....Ni usaha ulikuw unatoka baadae maumivu wkt wa kukojoa
Inaitwaje iyo dawaMkuu hiyo hali hata mimi ilikuwa imenitokea wiki tatu zilizopita, nilienda hospital nilichomwa sindano na dawa za kutumia kama siku tatu...nne hivi, ila nikafanya ujinga nikakutana tena na yule manzi nilitumia mpira ila kwa bahati mbaya wakati wa kujifuta sikuwa makini...asubuhi yake hali ikajirudia tena, nikaenda kwa duka la dawa nikapewa dawa flani hivi kwa siku kidonge kimoja kwa siku tatu, tangu huo mpaka leo nipo fitiiiiii.....
Kwa sasa naianza X-mass ndo kwanza nimefika viwanja, nikirudi nyumbani nitacheki jina la ile dawa katika box lake then ntakutumia mkuu ili nawe ujaribu.
Pole sana maana najua kwa jinsi gani unakosa amani na raha ya kugegeda hasa kunyonywa dushee.... Usijali, soon you will get well
Usaha ulikuwa njano au rangi yake ya kawaidaNi usaha ulikuw unatoka baadae maumivu wkt wa kukojoa
Saw mkuu nmekusomaMkuu nenda hospital moja ipo pale kivulini near mlimani city, inaitwa megra clinic. Bila shaka utapona mkuu, jamaa hawabahatishi. Kuna mtu wa karibu namfahamu alikua na tatizo kubwa na sugu zaidi ya lako, na aliponea pale, kabla ya hapo alishazunguka hospital kubwa kibao
Hahahhaa hahahhaa....ngoja Sasa wadada poa wenu wabebwe mje mlie lie hapa....
Upo sawa hyo ni hydronephrosis mm nimeumwa nikajuaga uti lakin nilipopiga ultrasound ikawa kidney ina majiPole ndugu ila jitahidi kufanya na vipimo vingine kama figo maana Kuna ndugu yangu alihangaika sana na U.T.I mwisho wa Siku ikagundulika figo zimefail
NjanoUsaha ulikuwa njano au rangi yake ya kawaida
Kila la kheri mkuuSaw mkuu nmekusoma
Walikuambia una nnMkuu hiyo hali hata mimi ilikuwa imenitokea wiki tatu zilizopita, nilienda hospital nilichomwa sindano na dawa za kutumia kama siku tatu...nne hivi, ila nikafanya ujinga nikakutana tena na yule manzi nilitumia mpira ila kwa bahati mbaya wakati wa kujifuta sikuwa makini...asubuhi yake hali ikajirudia tena, nikaenda kwa duka la dawa nikapewa dawa flani hivi kwa siku kidonge kimoja kwa siku tatu, tangu huo mpaka leo nipo fitiiiiii.....
Kwa sasa naianza X-mass ndo kwanza nimefika viwanja, nikirudi nyumbani nitacheki jina la ile dawa katika box lake then ntakutumia mkuu ili nawe ujaribu.
Pole sana maana najua kwa jinsi gani unakosa amani na raha ya kugegeda hasa kunyonywa dushee.... Usijali, soon you will get well