U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

Wagombea wa Chadema wengi wanatumia lugha chafu

Itv ni biashara, hataki kuharibu brand yake
 
Itv ni brand, haiwezi kutangaza habari za matusi, itajiharibia kwenye biashara
Brand gani wanayo itv? Kama wangekuwa na brand wangekuwa wanapokea maagizo toka juu? Ni utopolo tu kama vyombo vingine wa habari.
 
Watanzania hatuwezi kupoteza muda kwa kuangalia kampeni za huyo mhuni wenu made from belgium
 
Haijafahamika sababu iliyowapelekea kufanya jambo hilo la kuhuzunisha, lakini sasa ni siku ya pili mfululizo tangu taarifa za mikutano mikubwa ya Tundu Lissu kutooneshwa na kituo hicho
 
nimeshangazwa sana !
endelea tu kuwasifia kama hapo awali, nakumbuka juzi umepandisha uzi ukimsifu mtangazaji wa kituo hicho hicho,sasa kiko wapi mkuu??

Tutaelewana tu, ITV wamekosa cha kuripoti sababu lisu kila siku maneno yale yale"nitaingiza watu barabarani" wamechokaa

#any way kwa kuwa mmewakosoa kesho tune itv wataripoti japo kwa shingo upande!!😂😂
 
Back
Top Bottom