mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Achana nao. Siku Lissu akiapishwa tutadeal nao vizuri.
Anaapishwa Ubelgiji au?Achana nao. Siku Lissu akiapishwa tutadeal nao vizuri.
Anaapishwa Ubelgiji au?
Brand gani wanayo itv? Kama wangekuwa na brand wangekuwa wanapokea maagizo toka juu? Ni utopolo tu kama vyombo vingine wa habari.Wagombea wa Chadema wengi wanatumia lugha chafu
Itv ni biashara, hataki kuharibu brand yake
Brand gani wanayo itv? Kama wangekuwa na brand wangekuwa wanapokea maagizo toka juu? Ni utopolo tu kama vyombo vingine wa habari.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo itv ni mahakama ya biashara siyo?Itv ni brand, haiwezi kutangaza habari za matusi, itajiharibia kwenye biashara
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo itv ni mahakama ya biashara siyo?
I failed State inviriably tends to make oppostion Parties unheard...Ujinga wa Karnenimeshangazwa sana !
endelea tu kuwasifia kama hapo awali, nakumbuka juzi umepandisha uzi ukimsifu mtangazaji wa kituo hicho hicho,sasa kiko wapi mkuu??nimeshangazwa sana !