U-turn ya ITV kwenye uchaguzi huu inatokana na nini?

Labda wamewatukana kama walivyofanya kwa TBC
 
Mpaka sasa bado namsifia na ninafanya njama kumhamishia Chadema Media
 
Nchi hii kamwe haiwezi ongozwa na watu wanao fungamana na mapenzi ya jinsia mmoja.
 
Wahuni wa matusi mwiko...ni sera tu zinatakiwa na mkumbuke kuna maisha mengine baada ya uchaguzi.siasa za maji taka mwisho tarehe 27 na baada ya hapo hakutakua tena na siasa hizo hadi 2025.kama kawa itakua kila mtu afanye siasa kwenye jimbo lake la uchaguzi sasa nyie mtapata majimbo mangapi beibe!
 
Wamejitahidi sana kumvumilia Lissu na lugha zake chafu, wame edit sana, lakini kila siku anaongeza lugha za kimachafuko na kifedhuli, nadhani ITV wamestuka wasijekushtakiwa as part of genocide kama ilivyotokea Rwanda kwa baadhi ya vyombo vya habari. Lissu ni kichaa . ova.
 
Kama mpaka sasa hivi hujui kuwa vyombo vyote vya habari hapa nchini vimewekwa mfukoni na mtu mmoja basi wewe ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…