Ua jekundu la Wema Sepetu limeishia wapi?

Halaf amalizie jukwaa la biashara na ujasiliamali kama kumuelekeza imetoshaa akigandana na sisi atakoma mi nawekewa bando,nalishwa,navishwa,na soon naanza kujengewa ajilinganishwe aone
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea mwanamke weye sio mwenzioo katuu

Apambane na majukwa yake tu hana namna huku atuache wenyewe binamuu!!akamalizie stress jukwaa la intelligence kabisaa

Habari sipati!!!maisha yanasonga
 
Naomba uangalie utachekajee anaongea kama ana mate mdomoni yamejaa,kizungu kama changu ningekuwa mim ningekataa eti anasema mwarabu ni bodyguardwa hamo jamani hamo anamdanganyaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakula kwake yulee Sarah yuko hovyoo harmo nae kawadhalilisha wamakonde wote na sasa hivi wamakonde wasije mjini jamani wanatutia aibu loh!!

Mwanamke hovyo yule mzungu wa toleo la mwishoo yule Sarah bora hata wolpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…