Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

Hata kabla hawajaenda utumwani Misri ile ardhi ilikuwa yao. Tangu mwanzo Mungu alimwambia Mwisreal atakutana na taabu na kutawanywa iwapo imani yake kwa Mungu itashuka.

Na imekuwa hivyo ever since. Ni jamii pekee duniani inayoishi kwa kutanga tanga na makazi yake kukaliwa na wengine, tena mara nyingi tu . Na ni lazima aendelee kuishi pale aitimize ahadi ya Mungu.

Mwisho wenyewe wa dunia unaihitaji Israel iwe katika hali fulani kwa tukio lile la mwisho kutokea. Hivyo hawana namna ni lazima wataendelea kutaabika ili kutimiza mipango ya Mungu. Athari ya kuwa mtoto pendwa wa Mungu.

Ila somehow mambo yatajibalance na hatimaye tufikie hatma na haya yote yaishe, ndipo tutakapopewa mbingu mpya na nchi mpya! Until then, moto mabomu na makombora yataendelea kusikika sana tu.
 
Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu.

Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine .

Mungu aliamua kumaliza uadui ule kwa kumleta Yesu kristo Kuja kuwapatanisha Mungu na mwanadamu kwa kuhubiri upendo kwa wote .

Ni bahati mbaya kwamba Mwanadamu hajaweza kumwamini Yesu kristo kuwa ni mwana wa Mungu!! Yesu ni mfalme wa amani na ndiyo Maana alihubiri kusamehe Saba mara sabini. Mpalestina na mwarabu wamegoma kukubali kuwa Yesu ni mfalme wa amani lakini pia kuna Wayahudi wamegoma kukubali kuwa Yesu ni mfalme wa amani. Mwisho wake ni vita kule na kule Kati ya mataifa na makabila .

Kwa sababu mwanadamu amegoma kukubali kuwa Yesu kristo ni mfalme wa amani basi Mungu ndiye ataamua ugomvi kwa kumleta Yesu mara ya Pili.

Akili za mwanadamu ni shiida mpaka MUNGU akajuta kumuumba

Basi kama ndivyo zichapwe kavu kavu, hakuna mtu kuingilia.
 
Back
Top Bottom