UAE yakabidhi ndege kwa JWTZ

Mwaka 1961 Tanzania alikua inatoa misaada ya chakula UAE walikua masikini wa kila kitu zazibar ilikua inamaendeleo kuliko Dubai sasa mwaka 2025 UAE inatoa msaada ndege ya mtumba outdated technology kwa Tanzania.......CCM oyeeeeeeeee
Kwahyo ndege haina msaada?
 
Pesa ya kununua yutong zipo ila za vifaa vingine anhaaa
 
Takrima kwa kuwapa bandati, misitu na KIA.
 
Kuna kitu hakipo sawa. Waarabu wanatuzoea sana awamu hii.
Punguzeni udini jamani utawaua! Sasa wakichukua bandari tunalalamika!
Wametuletea ndege ya bure kwa ajili ya jeshi letu pia tunalalamika!
Kwahiyo hamtaki urafiki wowote na waarabu ! Basi iambieni serikali ivunje mahusiano ya kidiplomasia! Mabalozi wa nchi za kiarabu waliopo hapa TZ warudi kwao na mabalozi wetu waliopo uarabuni warudi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…