UAE yakabidhi ndege kwa JWTZ

Ndege ya mizigo hii ?...

T14 Armata
Ndege hasa ya kusafirisha viongozi jeshini. Inabeba mizigo kidogo na paratroopers inabeba kwa kiasi. Inaweza fanyiwa configurations kadhaa, haikuwa na umuhimu mkubwa sana uzuri hatujainunua maana kuna order ya Spartans sijui ngapi hizo ndio zina msaada mkubwa.
 
Utashangaa jamaa wanamilikishwa mbuga ya wanyama kama malipo ya siri ya huo mtumba!
Lakini kwanini hizo raslimali wakipewa mabeberu wa ulaya na Amerika huwa hamlalamiki ?!
Akipewa mwarabu ndio maneno yanakuwa mengi ni kwanini lakini?!
 
Haya ni mambo ya kawaida. Marekani ilitawaliwa na uingereza lakini kwasasa uingereza ni kibaraka wa Marekani
Mwaka 1961 Tanzania alikua inatoa misaada ya chakula UAE walikua masikini wa kila kitu zazibar ilikua inamaendeleo kuliko Dubai sasa mwaka 2025 UAE inatoa msaada ndege ya mtumba outdated technology kwa Tanzania.......CCM oyeeeeeee
 
Ha ha ha.

huo ni mtumba wa ndege.😜
jiulize tu U.A.E wanatengeneza ndege?

utakuta hao washalegezwa hao, hiyo ndege ikiwa inaruka kwenda kufanyiwa cjui maintainance level nn cjui huko ilipotoka, wanabeba ile banataka. ukiuliza unaambiwa umpigie Waziri wa Nje ama Ulinzi, yani ndio maagizo kutoka juu.

ngoja pro trump waje.
 
Lakini kwanini hizo raslimali wakipewa mabeberu wa ulaya na Amerika huwa hamlalamiki ?!
Akipewa mwarabu ndio maneno yanakuwa mengi ni kwanini lakini?!
Una uhakika huwa silalamiki! Mimi kwangu mwizi ni mwizi tu.
 
🤣 kweli Trump ana haki kufungia misaada Afrika.Yani tumeshindwa kwa rasilimali zote zilizopo Tz kununua ndege za jeshi kwa pesa ya ndani.Au ndege ya kubebea wanyama kupeleka huko.
Kama Rasia anapewa msaada wa kijeshi nini Tanzania.
 
Watwala wa.rasilimali zetu NI wapumbavu...wabinafsi...
 
Inafanana na ile iliyoonekana mbugani, wakiipima dna huenda watavikuta viashiria.
Tuseme imestaafishwa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…