UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+.

Uamuzi huu utaanza kutumika rasmi tarehe Mei 1, 2026.
*****

 UAE (kupitia Abu Dhabi) ilijiunga na OPEC mwaka 1967. Hivyo, inaondoka baada ya takriban miaka
59 ya ushirikiano.

 UAE inataka kuwa na uhuru zaidi wa kupanga viwango vyake vya uzalishaji wa mafuta bila kufuata masharti ya upendeleo (quotas) yanayowekwa na OPEC.
 
Oh okay sw. Bonge la kalata.
Kazi ni kipimo cha utu
 
The UAE is the third-largest producer in the cartel, and its departure is widely viewed by analysts as a "seismic shift" and a major blow to the group's cohesion.
Source: Citizen Digital

Current OPEC Members (Pre-May 2026)
Until the UAE's exit becomes official, OPEC consists of 12 member countries:
Organization of the Petroleum Exporting Countries +3
  • Middle East: Saudi Arabia, Iraq, UAE, Kuwait, Iran.
  • Africa: Algeria, Libya, Nigeria, Gabon, Equatorial Guinea, Republic of the Congo.
  • South America: Venezuela.
Effects of the UAE’s Withdrawal
The UAE's exit is driven by a desire for "strategic autonomy" and the freedom to maximize its own production capacity, which it felt was artificially suppressed by OPEC quotas.
Source: The National

1. Market and Price Impact
  • Increased Supply: Freed from quotas, the UAE plans to gradually increase production toward its target of 5 million barrels per day.
  • Price Volatility: While the announcement caused an immediate sharp drop in oil prices, the longer-term effect is expected to be a more volatile market as OPEC’s ability to manage global supply diminishes.

  • Consumer Benefit: Analysts suggest this may lead to lower oil prices in the long run, aligning with U.S. President Donald Trump's calls for lower energy costs to curb inflation.
2. Organizational Weakening
  • Loss of Spare Capacity: The UAE was one of the few members with significant idle capacity. Its exit strips OPEC of a major tool used to stabilize markets during supply shocks.
  • Fragmentation Risk: There are concerns that other major producers, such as Iraq or Kuwait, might eventually follow suit, potentially signaling "the beginning of the end" for the 66-year-old cartel.
    The Online Citizen +2

3. Geopolitical Shifts
  • Rift with Saudi Arabia: The move highlights a growing diplomatic and economic divide between the UAE and Saudi Arabia over regional leadership and energy strategy.
  • Security Concerns: UAE officials cited a lack of regional support from fellow Arab states during recent Iranian attacks as a key factor in their decision to pivot toward an independent policy.
    Source: The Times of India
💡 Key Takeaway: The UAE is prioritizing its national interest to monetize its oil reserves more aggressively and fund its transition to a diversified, post-oil economy.

Source: Upstream Online
 
Unajua kuwa Iran ni mwanachama wa OPEC.

Watu wengine mnacomment kwa mihemuko tuu, hamjui hata OPEC ni nini?
Iran ni mwanachama mfu au aliyekiuka makubaliano, ndio mana alikuwa anauza mafuta china Kwa yuan na India Kwa rupia. Wakati wanachana wa opec walikubaliana sarafu ya kuuzia mafuta ni US dollar pekee. Usijifanye unajua sna wakati mungine uwe unajifunza.
 
Wanataka kushirikiana na Iran kuuza mafuta china

Kumbe hufahamu chochote!!

Hiyo imefanyika ili kujitenga na Iran, kwamba UAE haiweza kuwa member wa organization yoyote ambako Iran ipo. Mataifa yote ya Kiarabu, baada ya kushambuliwa na Iran, yanaiona Iran kama ndiye adui yao mkubwa
 
Iran alishatengwa au kujitenga na huo ushirika siku nyingi ila haikuwa official declered. Kwa Yale maamuzi tu ya Iran kuamua kuuza mafuta yake kadiri anavotaka na Kwa sarafu anayoitaka kinyume na dola ya marekani tayari alishakiuka utaratibu wa opec ambao kwa namna kubwa ilikuwa ni matakwa ya US.

Kwa sasa gulf states ikiwemo UAE hawaoni tena sababu ya kubanwa na US kwenye maslahi yao ndio mana wameanza kupitia upya mahusiano yao na marekani kwenye maswala muhimu kama biashara ya mafuta, ulinzi na mahusiano ya kidiplomasia.

The gulf states watakuja na mifumo mipya ambayo itamtazama Iran kama taifa muhimu katika mustakabali wa maslahi yao lakini pia namna gani waishi na marekani bila kupata athari za moja Kwa moja kutoka kwa mataifa hasimu na marekani. Kwani wameshajua kumtegemea marekani pekee ni risk Kwao.
 
Hii kitu haitofanyika. Hawa Gulf states bila USA hawana kitu kabisa
 
Vizuri, kila mtu apambane na soko kivyake vyake supply na denand ziamue bei.
 
Kwa faida ya nyumbu za Ufipa elezea kuhusu OPEC na OPEC+ ili kuepusha kuanza kuishambulia CCM.
 
Kwa faida ya nyumbu za Ufipa elezea kuhusu OPEC na OPEC+ ili kuepusha kuanza kuishambulia CCM.
Sema wewe ndio hujui. Maana ulivo na kiherehere Cha kudandia mada za watu ungeshaandika ili kiwaelimisha hao nyumbu.
 
Hii kitu haitofanyika. Hawa Gulf states bila USA hawana kitu kabisa
Kwa hasara waliyo ipata kwenye vita hii, wanakila sababu ya kufanya hivyo. Middle East yote inaughulia maumivu makubwa ya kiuchumi,ambayo itawachukuwa zaidi ya miaka hata mitano kurepair, baada ya US kutumia ardhi yao kufanya mashabulizi zidi ya Iran na si hivyo sasa hivi Middle East wote wameanza movement ya kuzikataa kambi za US na wao wanaona hii vita,imepoa ikiibuka tena wataendelea kupata hasara. Ubaya zaidi Rais mwenyewe wa US Trump,upande wa kidiplomasia ni mbovu na hajui kitu na sio huyo Canada nae anaanza kujitenga polepole na US.
Screenshot_20260428_205953_TikTok.jpg
 
Chanzo. Aljazeera.
Umoja wa falme za kiarabu umetangaza kujiondoa kwenye umoja wa nchi zinazalisha/kuuza mafuta ya petrol (OPEC) kuanzia kesho tarehe 1.
Iran vs USA &Israel war effect.
 
Back
Top Bottom