Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

Jeshi La Ulinzi La Wananchi Wa Tanzania
Haliajiri Isipokuwa Linaandikisha Yaani Unajitolea Ikiwezekana Hadi Kufa
 
Kuna kitu kinaitwa time, kinaenda. So hapa kuweka mwili fresh si issue , swali ni je hiyo bahati itamkuta akiwa in time?
 
Why single out JWTZ? The whole system is corrupt through and through.
Hivi unewahin ku apply tender serikalini au idara/shirika lolote la umma. I don't think so. La sivyo usinge post hii.
 
Why single out JWTZ? The whole system is corrupt through and through.
Hivi unewahin ku apply tender serikalini au idara/shirika lolote la umma. I don't think so. La sivyo usinge post hii.
Pamoja na changamoto zilizopo huko lakini kuna aina ya uwazi imewekwa.

Issue sio kupata au kukosa ajira,issue ni uwazi na mianya ya wazi ya rushwa.
 
Sasa unalinganishaje Jeshi na chombo kidogo kama polisi? Yaani ninyi bado mnafikiri Jeshi ni chombo kinacholinganishika na taasisi ndogo ya kiraia kama polisi!
Jeshi lilifagia, jeshi lilisomba korosho kwa malori. Tofauti yake na polisi ni nini?
Kuna la ajabu gani hapa mbona taasisi za kibongo zote zinafanana tabia.
 
Jeshi lilifagia, jeshi lilisomba korosho kwa malori. Tofauti yake na polisi ni nini?
Kuna la ajabu gani hapa mbona taasisi za kibongo zote zinafanana tabia.
Hayo ni machache kati ya maovu unayoyafahamu.

Watu wengi wanachoangalia ni kwamba hawawaoni wanajeshi barabarani wakikagua magari.

Au kuingia mitaani na kukamata polisi.Hivyo wanawaona wanajeshi ni wema kuliko Polisi.
 
Kuna hoja , unatakiwa kujibiwa
 
Kuwa mpole mkuu, mifumo ya jeshi ipo hivyo duniani kote. Jeshi huajiri wanajeshi wa mshahara, pengine kwa upendeleo. Lakini vita ikitokea wanaume wote mnaswagwa kwenda kutetea nchi!
 
Sasa unalinganishaje Jeshi na chombo kidogo kama polisi? Yaani ninyi bado mnafikiri Jeshi ni chombo kinacholinganishika na taasisi ndogo ya kiraia kama polisi!
Mwanakeshi akijipigia chapuo kwamba yeye ni Bora๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Jeshini(JWTZ) hakuna ajira bali kuna uandikishwaji na ndiyo maana hawana Salary bali Pay Slip.
 
Xawa ila hiyo dhana unayoiongelea kiitifaki haipo,majeshi yote yapo kwa ajili ya wananchi,tena JWTZ ndio zaidi ndio mana hata jina lake linaakisi huo ukweli.
Kama unaandika xawa badala ya sawa,jeshi wamefanya sahihi kuchuja wajuavyo, zamwamwa kama wewe huwezi kabidhiwa dhamana ya kulinda mipaka yetu
 
Xawa ila hiyo dhana unayoiongelea kiitifaki haipo,majeshi yote yapo kwa ajili ya wananchi,tena JWTZ ndio zaidi ndio mana hata jina lake linaakisi huo ukweli.
Kuitwa jina haimaanish watangaze kila kitu. Is why wana siri zao na state secrets pia. Lakin hata sikumoja huwez sikia wanazitangazq hadharani jus becaus eni la wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ