mi nliacha kwa sababu nliona napoteza muda na naelekea kuzeeka masikini. NI KWELI KABISA
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine.
Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi.
Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.
Ualimu ni kazi ya wito!haina ufahari sana wala utajiri.ni bora kufanya maamuzi ya busara kabla ya kujiunga na mafunzo.
kweli ni kupoteza muda., kulingana na system zilizopo sasa. Walimu wataendelea kubaki jinsi walivyo na akili zao... heshima yao na utajiri mkubwa walionao ni SHIKAMOO.
Ndio maana nasema follow excelence and succesfully will follow you.
sababu ambazo reasoning ndo nini? kwa style hiyo hata ualimu wa chuo haukufai maana ..... duh...! sijui ndo hujui maana ya reason ...! au maana ya sababu...!ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning
pole sana,utajiri wa mtu hutokana na CREATIVITY ya mtu na siyo fani uliyosomea!wangapi ni madaktari lakin bado ni masikini?Tatizo macho yako mawili yalikodolea kamshahara ka mwisho wa mwezi.
uko sawa kabisa lakini si sahihi. Ila ingekuwa ni Serikali sikivu ingewathamini sana hawa watu. tatizo mazingira ya kazi ni magumu. ukifanya mishe zako kidogo tu inaonekana km uko bze na mambo yako. Niliacha kwa sababu ya fitina za kuanzia Mwl Mkuu hadi DEO. nikajikita 100% kwenye mambo yangu. saiv naenjoy hata kakitambi kametoka
KWELI HAKUNA MTU MWEMBAMBA NI SHIDA TU HakiyaMungu
Kama kuwa na kitambi cha safura baada ya kuacha ualimu ni sifa basi ni kweli kabisa ualimu ni kupoteza muda. Sifa za kijinga!
Kiwito sawa ila kiuchumi...ualimu lazima ufulie
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums