"ualimu ni kupoteza muda"

"ualimu ni kupoteza muda"

Mafanikio sio kazi bali nikwanamna gani unatumia kipato chako ili kujiendeleza lakini nivyema kama wewe si mwalimu usitoe comment za ajabu,ualimu ni kazi
 
hamna mi nipo nakisanua medical school,ni huzuni ya rafiki yangu iliyonifanya nipost hapa jamvini kuona kama kuna ukweli wowote

UALIMU NI KAZI YA WITO, BUSARA NA HEKIMA .lakini uharisi wa kazi hii inaonekana ni adhabu pia nikimbilio la walio feli hivyo huonekana hawana usemi wowote mbele ya serikali tofauti na polisi bila shaka nawenishaidi lini uliona askari wamegoma mwalimu kutwanzima yuko shule lakini hana posho polisi anaposho kwa maelezo haya na kubalina na mtoa mada kuwa ualimu ni kupoteza muda isitoshe walimu hawasikilizwi kama wafanyakazi wengine .hakuna mtu anaependa afanye kazi bila maslahi ikiwa nae anapenda maisha mazuri ualimu mzuri ukiwa mjini ualimu mateso ukiwa vijijini usijaribu kazi hii kama huja jizira kama uko TANZANIA uliza ngwala magereza ni wapi? ndipo upende kazi hii
 
Akilini kichwani mwako ndugu mwalimu. Kazi yetu dhamani yake ni ndogo sana mbele ya waajiri wetu lakini mbele ya Mungu ni ya dhamani sana.
 
Ukitegemea tu Ualimu utoke shule urudi ukae nyumbani kweli utapoteza muda, Ualimu unajishkiza ka kijiwe cha mshahara, piga deal zako halali au haramu ili mradi umake, tena ka una akili ya biashara unakopesheka kirahisi..... Ila mimi ninapofurahia Ualimu ni pale kuwa kila siku nina audience ya watu zaidi ya mia mbili ambao wananisikiliza na kuamini nnachosema. Iwe pumba au point watasikiliza na kufuata
 
WATU TUSIPENDE KAZI KWA MAZOEA BALI TUJIFUNZE KILE TUNACHOKIONA,mimi ninajamaa yangu ambae ni teacher tangu aende kituoni kwake ni husuzuni tu jamani TANZANIA haiko DAR tu unaweza ukasoma chuo ghorofani kazi ukaenda kufanya kwenye kiota cha ndege .jamaa waliko mpangia hakuna mtandao hakuna umeme kupiga simu anasafiri nauli hadi sehemu ya mtandao ni elf 20 kwenda nakurudi jamani utaenda kupiga simu marangapi ? kwa mshahara wa mwalimu tujiulize jamaa anaweza akaenda mjini anakuta mshahara bado hauja toka na vijijin hamna benk akija mjini ana anzakukopa hela iliaendele kusubiri mshahara kumbuka shulen anazidi kupoteza vipindi kweli serikali ya tz inawajali walimu .mimi hunishawishi hata kidogo bola niwe bodaboda lakini sio ualimu kwenda shule nakurudi nyumbani na mfukoni huna kitu unategemea mshahara wa laki 2 ulishe watoto usomeshe ulipe kodi hata vocha uchukue ndani ya kalaki mbili hako hako kweli mwalimu utakunywa soda njiani kama hutegmei kukopa tu. vijana tusome sio kazi za kinjaanjaa hizi WALIMU MPOGO
 
Unajua ufinyu wa mawazo ndio unafanya watu kama wewe wakisikia neno Mwalimu wanajua ni primary na sekondari tu! Kumbuka hata lecturer na Proffesor ni Walimu na hutasikia malalamiko kutoka kwao.

Mwambie mwenzako akaze buti mafanikio hayaletwi na taarabu kama hizi.
 
Mimi nilikuwa mwalimu. Na nasema kwa dhati na mnielewe hii ni kazi nzuri sana kama mtu ana malengo hutakiwi kurithika kwa kazi ya aina yeyote ile.
Ukiwa mwalimu waweza kufanya biashara maana walimu wana muda mwingi, ktk mwaka wana miezi 3 ambayo hawaendi kazini yaani wapo likizo pindi shule zinapofungwa. Muda wa kukaa kazini ni mchache ukilinganisha na kazi nyingine hivyo mambo yako mengine yanaendelea kama una malengo.
Mwalimu ana nafasi kubwa ya kujiendeleza kielimu na akaweza badilisha kazi kama atadhani kuna umuhimu wa kufanya hivyo, maisha ya Tanzania kupata kazi ni ngumu sana lkn walimu wanaajili moja kwa moja serikalini hivyo ukishapata ajira yako na kama hupendi nenda kasomee kitu kingine unachokipenda ukiwa tayari mwajiliwa wa serikali na ukimaliza omba kubadilishiwa kada ya utumishi (categorization) kwa course mpya uliyosomea, kisheria unatakiwa kubadilishiwa.
Kuna watu wengi wajanja sasa wanafanya hivyo. Akishapata ualimu wake, kuna wanaoenda kusoma uasibu, social work, procurement, sheria, human resourse na kozi tofauti hadi udaktari na baada ya kuhitimu anaomba kubadilishiwa kada na kiuraini anapata ajira yake safi ya bila jasho ndani ya halmashauri yake tena bila interview. Na hapo sasa anaweza kupata uhamisho na kuhamia popote serikalini mf. Wizarani n.k
Amkeni wabongo acheni kudharau kazi. Kwa maisha ya leo Tz. Hakuna kazi bomba kama ualimu ni kutokujua tu.
Mke mwalimu ndo mke bora ndugu zangu. Anajua saikolojia ya mtoto hivyo atamlea mwanao ktk mazingira mazuri, atakuwa na muda mwingi wa kukaa na mwanao anajua tabia mbalimbali za watoto hivyo itakuwa rahisi kwake kumshape mwanao.
Oooh! Nimechoka kuandika, kwa ufupi kuna faida nyingi za kuwa mwalimu.
Ualimi ulivyoniweke nilivyosasa aise nauheshimu mnoooo. Kikubwa usiridhike, Ualimuuuu juuuuuuu!.
 
Jamani nilisahau jambo hili. Ualimu ndo kozi pekee ambayo gharama zake za kusoma ni ndogo kwa akina siye wenye kipato kidogo.
Leo chuo kikuu ukitaka uhakika wa mkopo kasomee Ualimu. Mtu kapata div. 3 point 17 anapata mkopo asilimia 80 hadi 100. Na bado anauhakika akimaliza anapata kazi. Jamani utake nini tena hapo? Labda kama mambo yako ni super sana waweza dharau hiyo kazi lkn kwa maisha ya mtanzania wa kawaida akifanya dharau lbd awe smart sana kichwani.
 
Mimi nilikuwa mwalimu. Na nasema kwa dhati na mnielewe hii ni kazi nzuri sana kama mtu ana malengo hutakiwi kurithika kwa kazi ya aina yeyote ile.
Ukiwa mwalimu waweza kufanya biashara maana walimu wana muda mwingi, ktk mwaka wana miezi 3 ambayo hawaendi kazini yaani wapo likizo pindi shule zinapofungwa. Muda wa kukaa kazini ni mchache ukilinganisha na kazi nyingine hivyo mambo yako mengine yanaendelea kama una malengo.
Mwalimu ana nafasi kubwa ya kujiendeleza kielimu na akaweza badilisha kazi kama atadhani kuna umuhimu wa kufanya hivyo, maisha ya Tanzania kupata kazi ni ngumu sana lkn walimu wanaajili moja kwa moja serikalini hivyo ukishapata ajira yako na kama hupendi nenda kasomee kitu kingine unachokipenda ukiwa tayari mwajiliwa wa serikali na ukimaliza omba kubadilishiwa kada ya utumishi (categorization) kwa course mpya uliyosomea, kisheria unatakiwa kubadilishiwa.
Kuna watu wengi wajanja sasa wanafanya hivyo. Akishapata ualimu wake, kuna wanaoenda kusoma uasibu, social work, procurement, sheria, human resourse na kozi tofauti hadi udaktari na baada ya kuhitimu anaomba kubadilishiwa kada na kiuraini anapata ajira yake safi ya bila jasho ndani ya halmashauri yake tena bila interview. Na hapo sasa anaweza kupata uhamisho na kuhamia popote serikalini mf. Wizarani n.k
Amkeni wabongo acheni kudharau kazi. Kwa maisha ya leo Tz. Hakuna kazi bomba kama ualimu ni kutokujua tu.
Mke mwalimu ndo mke bora ndugu zangu. Anajua saikolojia ya mtoto hivyo atamlea mwanao ktk mazingira mazuri, atakuwa na muda mwingi wa kukaa na mwanao anajua tabia mbalimbali za watoto hivyo itakuwa rahisi kwake kumshape mwanao.
Oooh! Nimechoka kuandika, kwa ufupi kuna faida nyingi za kuwa mwalimu.
Ualimi ulivyoniweke nilivyosasa aise nauheshimu mnoooo. Kikubwa usiridhike, Ualimuuuu juuuuuuu!.

Umeongea lakini hujanishawishi ualimu
 
Dah! Wanafunzi wa primary na secondary watafundishwa na nani kama sote walimu tutajiendeleza na kuwa malecturers?
Eleza nini kifanyike walimu nao waenjoy!
Unajua ufinyu wa mawazo ndio unafanya watu kama wewe wakisikia neno Mwalimu wanajua ni primary na sekondari tu! Kumbuka hata lecturer na Proffesor ni Walimu na hutasikia malalamiko kutoka kwao.

Mwambie mwenzako akaze buti mafanikio hayaletwi na taarabu kama hizi.
 
...Baba na Mama yangu walikuwa walimu wa shule ya msingi...familia yetu ina watoto 5, wametusomesha na tumefikia tulikofika
..hatukuwahi kukosa chai/uji (asubuhi), chakula cha mchana (dona na majani ya kunde/mchicha/mnafu/majani ya maboga/kunde/maharagwe) na jioni (wali/ndizi/nyama, maharagwe etc

.UGALI ukibaki asubuhi ndo twanywea chai ili kuhakikisha hatumwagi chakula

..hakukuwa na mambo ya Tuition ambapo wangeweza kupata fedha za ziada za kujikimu

USIDHARAU kazi, wala usidharau YEYOTE katika hadhi yeyote

Anayeuponda ualimu ujue ni ktk wale waliofeli ikabidi akasome tu bila kupenda cause kama unapenda huwezi lalamika. Ni kazi inayompa mtu uhuru wa kufanya miradi mingine na ukafanikiwa
 
Anayeuponda ualimu ujue ni ktk wale waliofeli ikabidi akasome tu bila kupenda cause kama unapenda huwezi lalamika. Ni kazi inayompa mtu uhuru wa kufanya miradi mingine na ukafanikiwa

basic salary ngapi vile kwa degree
 
basic salary ngapi vile kwa degree

Basic Salary za mfanyakazi wa serikali awe wa halmashauri au wizarani zinaringana. Mtu wa certificate yoyote anaanza na ngazi ya B, Diploma anaanza na ngazi ya C, Degree anaanza na ngazi ya D na masters anaanza na ngazi ya E. Haijarishi umesomea nini wote mshahara ni mmoja. Walimu wanapoachwa wao hawana marupurupu mengine zaidi yashahara tofauti na kada nyingine.
 
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning

kazi zote za kuajiriwa ni kupoteza muda!!
 
Back
Top Bottom