Ualimu umenipa mtaji,

Ualimu umenipa mtaji,

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua kiwanja na kujenga kinyumba kidogo chumba na sebule, huku nikijifunza kilimo na ufugaji ,
(Hapa nilikuwa natumia ardhi ya nyumbani tu ) baadaye niligundua kuwa na ardhi tu bila fedha kilimo hakiendi , thanks God mwaka juzi 2020 nilichukua mkopo milioni kumi na kuutupa wote kwenye pembejeo na kununua mifugo ( ngombe na nguruwe) , kiufupi salary yangu take home ni laki tatu tu, ila ninachokipata shambani ni zaidi ya hizo laki tatu kwa mwezi , sasa najenga, nina usafiri , namiliki viwanja kadhaa mjini, nimeongeza mashamba ya parachichi na kahawa na huku nikiendelea kulima viazi mviringo, nikienda bank wahudumu wa bank siku hizi wananifahamu na wale wakina dada wa bank wananichekea , kifupi nimeanza kupumzika na kuziona njia za hela kubwa , nimeandika haya kuwakumbusha walimu tu kuwa uwalimu sio umaskini Bali walimu wengi ni maskini, uwalimu kama kazi hauji kukupa hela zaidi ya kukopa na tumia vyema mikopo , salary ya mwalimu ni ndogo sana hivo hakuna means ya kupata hela kupitia salary,kopa ila ujue unakopea nini na una udhoefu wa kiasi gani na
Hicho kitu unachokopea, sijafanikiwa ila naziona hatua na viashiria vizuri na sijisifu sababu najua shit can happen
 
Hongera sana... Mungu azidishe mafanikio yako [emoji120]
 
Hizo character ni za mkoa wa Njombe bila Shaka wewe ni Mbena
 
Kwa ambao hawaishi wilaya zao walizozaliwa je? Na hawatumii ardhi za nyumbani?

Hongera mwalimu,
 
Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua kiwanja na kujenga kinyumba kidogo chumba na sebule, huku nikijifunza kilimo na ufugaji ,
(Hapa nilikuwa natumia ardhi ya nyumbani tu ) baadaye niligundua kuwa na ardhi tu bila fedha kilimo hakiendi , thanks God mwaka juzi 2020 nilichukua mkopo milioni kumi na kuutupa wote kwenye pembejeo na kununua mifugo ( ngombe na nguruwe) , kiufupi salary yangu take home ni laki tatu tu, ila ninachokipata shambani ni zaidi ya hizo laki tatu kwa mwezi , sasa najenga, nina usafiri , namiliki viwanja kadhaa mjini, nimeongeza mashamba ya parachichi na kahawa na huku nikiendelea kulima viazi mviringo, nikienda bank wahudumu wa bank siku hizi wananifahamu na wale wakina dada wa bank wananichekea , kifupi nimeanza kupumzika na kuziona njia za hela kubwa , nimeandika haya kuwakumbusha walimu tu kuwa uwalimu sio umaskini Bali walimu wengi ni maskini, uwalimu kama kazi hauji kukupa hela zaidi ya kukopa na tumia vyema mikopo , salary ya mwalimu ni ndogo sana hivo hakuna means ya kupata hela kupitia salary,kopa ila ujue unakopea nini na una udhoefu wa kiasi gani na
Hicho kitu unachokopea, sijafanikiwa ila naziona hatua na viashiria vizuri na sijisifu sababu najua shit can happen
Kabla ya kuhitimu shahada ya sheria unamaanisha ulikuwa mwalimu au. Ulisoma ualimu baada ya sheria ..?
 
ilikuwaje umesoma Sheria harafu ukaajiriwa kama mwalimu .....!pumbavu sana ,umebana riziki zetu walimu

Tamisemi njooni mtumbue hili jibu ,
Watu wengi walibadili majeshi na kusoma PGD
 
Yaani within a year and a half, and by using only ten mill, umenunua ng'ombe, nguruwe, umenunua usafiri let's say gari, viwanja mjini, unajenga, unalima mazao matatu tofauti! Motivational speaker bwana! Thanks kwa kututia moyo.
 
Amesoma sheria 2012.

Hajaenda law school hana connection.

Ameajiriwa 2015 ajira za serikali kama mwalimu.

Huu ni mwaka ambao mbilinge mbilinge za wafanyakazi hewa zimeanza na kuajiri kulisitishwa haswa kwa huu ualimu na udaktari.

2020 amechukua mkopo 10M.

Toka mwaka amechukua mkopo mpaka unamzalishia ni trick kidogo.

2022 amenunua gari na anajenga. Na ameanza na kilimo cha mibuni, parachichi ana viwanja kadhaa mjini na analima viazi mviringo.

You are so lucky mkuu.
 
Hongera sana ndugu. Ila kuna sehemu umechapia hapo "udhoefu", ww ni mwalimu wa somo gani? [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom