Ualimu umenipa mtaji,

Ualimu umenipa mtaji,

Amesoma sheria 2012.

Hajaenda law school hana connection.

Ameajiriwa 2015 ajira za serikali kama mwalimu.

Huu ni mwaka ambao mbilinge mbilinge za wafanyakazi hewa zimeanza na kuajiri kulisitishwa haswa kwa huu ualimu na udaktari.

2020 amechukua mkopo 10M.

Toka mwaka amechukua mkopo mpaka unamzalishia ni trick kidogo.

2022 amenunua gari na anajenga. Na ameanza na kilimo cha mibuni, parachichi ana viwanja kadhaa mjini na analima viazi mviringo.

You are so lucky mkuu.
Hongera nyingi kwake
 
Ja

Viazi unalima kwa muda gani mzee, na nguruwe mzunguko wake unaujuaa, bei ya ngombe wa maziwa unaijua , gari unanunua tsh ngapi, nyumba unatakiwa uwe na shilingi ngapi, nimefanya kilimo kwenye mashamba ya familia toka mwaka 2014, nilikopa huku najua excatly kinachoeendelea kwenye kilimo
 
I just said you are lucky
 
Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua kiwanja na kujenga kinyumba kidogo chumba na sebule, huku nikijifunza kilimo na ufugaji ,
(Hapa nilikuwa natumia ardhi ya nyumbani tu ) baadaye niligundua kuwa na ardhi tu bila fedha kilimo hakiendi , thanks God mwaka juzi 2020 nilichukua mkopo milioni kumi na kuutupa wote kwenye pembejeo na kununua mifugo ( ngombe na nguruwe) , kiufupi salary yangu take home ni laki tatu tu, ila ninachokipata shambani ni zaidi ya hizo laki tatu kwa mwezi , sasa najenga, nina usafiri , namiliki viwanja kadhaa mjini, nimeongeza mashamba ya parachichi na kahawa na huku nikiendelea kulima viazi mviringo, nikienda bank wahudumu wa bank siku hizi wananifahamu na wale wakina dada wa bank wananichekea , kifupi nimeanza kupumzika na kuziona njia za hela kubwa , nimeandika haya kuwakumbusha walimu tu kuwa uwalimu sio umaskini Bali walimu wengi ni maskini, uwalimu kama kazi hauji kukupa hela zaidi ya kukopa na tumia vyema mikopo , salary ya mwalimu ni ndogo sana hivo hakuna means ya kupata hela kupitia salary,kopa ila ujue unakopea nini na una udhoefu wa kiasi gani na
Hicho kitu unachokopea, sijafanikiwa ila naziona hatua na viashiria vizuri na sijisifu sababu najua shit can happen
Hongera sana........kwenye kila stori ya mafanikio kuna zaidi ya 90% ya ukweli hufichwa.
Hii Tanzania ilivo na ubaguzi na ukabila from no where mtu atoke Mbeya awe mwalimu mkoa wa mara,Kagera,Simiyu atatoboa,......Never.
Hata ugawe maziwa bure,hakuna atayekunywa.
Inategemea na sehemu na nini unachokifanya,......na upande mwengine wa stori(90%),hakuna atakayesimulia
 
Wewe ni mwalimu wa UPE mbona Kiswahili chako kina matege mfano "udhoefu"
Vipi huna mke/mchunba nikupe danga langu la zamani linataka kuolewa na mwalimu.
 
Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school .
Hakuna Mwalimu mwenye cheti cha Sheria aliyeajiriwa na serikali, otherwise ulikuwa na cheti au diploma ya ualimu kabla hujasoma sheria.
 
Hahahahaha motivation speaker uliyasema haya juzi kwenye uzi wa mwenzako watu wakakushambulia naona umefungua uzi kabisa hahahhahaha
 
Dah
Hakuna Mwalimu mwenye cheti cha Sheria aliyeajiriwa na serikali, otherwise ulikuwa na cheti au diploma ya ualimu kabla hujasomawauo
Sema kuna element za uongo katika huu uzi
Uongo ni upi, since 2012 nimegraduate LLB, nimeingia kusoma postgraduate 2013/ 14, nimepata ajila nazani zilikuwa za mwisho 2015 May, nalima mashamba ya familia hadi leo, ila nimeongeza yangu na mifugo, nimepita msoto sana ujue , karibu jombe uta prove nikisemacho
 
Hahahahaha motivation speaker uliyasema haya juzi kwenye uzi wa mwenzako watu wakakushambulia naona umefungua uzi kabisa hahahhahaha
Hofu yako ungejua sio kila ni motivation speaker , nipo kwenye kilimo field, karibu jombe uthibitishe hili, kama upo mbeya uliza watu wa danga. sekondari ndato kuhusu mwAlimu aliyetoboa kupitia viazi ,
 
Acha fiksi,jombe ndio wapi?
 
Huyu ni mamruki tu Hana ualimu wowote .....

Walimu sio vilaza Namna hii
 
Take home laki tatu then mkopo mil 10 wadanganye mazuzu[emoji23][emoji23][emoji23] tunaojua haya mambo huwez kutudanganya [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom