Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kuwa na uaminifu kwa 100% inawezekana kabisa bana.....ishu ni muda gani wa uaminifu tu...kama ni siku mbili au tatu inawezekana pasipo na shaka........
kazi ipo kwa kweli, mtu ndio unaonaaa na wewe umepataaa? namuonea huruma mdogo wangu Rose....ngoja nile nyanya chungu mie, uaminifu nimembakizia mama yangu mzazi.