Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

Lucky bastard,Kwa wengine bado upo mahabusu unaskia mkeo kafunga ndoa nyingine na msela wako wa Karibu.
 
Hii ni ngumu kuamini.

Labda alivumilia kwa kutofunga ndoa na mtu mwingine!
 
Back
Top Bottom