then ni kucheki kipaumbele chako kilicho kutesa muda wote pengine wa ujana wako wote unakikamilisha...Umehakikishiwa ni za kwako ki halali
nitanunua bombadiaAsubuhi ukute bank account ina $150 billion kama Jeff Benoz utafanya nini?
Nitaenda kwanza Jerusalem mpaka Nazareth nikashuhudie ninayoyasoma kwenye Bible nikimwambia Asante Mungu.then ni kucheki kipaumbele chako kilicho kutesa muda wote pengine wa ujana wako wote unakikamilisha...
huko kunaitwa kuziwekea ulinzi wa asili hizo fedha vinginevyo zinaweza kupeperuka kama karatasi zilizo chanwachanwa na kutawanywa angani.Nitaenda kwanza Jerusalem mpaka Nazareth nikashuhudie ninayoyasoma kwenye Bible nilimwambia Asante Mungu.
Wale wote wenye nyumba za nyasi kijijini kwetu nitawajengea decent homes.
Asubuhi ukute bank account ina $150 billion kama Jeff Benoz utafanya nini?
hahaahaaaah kibegi aaah kibegi ila nitamtaarifu uncle ili isijekuwa ni trick maana huyu jamaaa__