Uamke asubuhi ukute account yako ina $150 billion utafanya nini?

Uamke asubuhi ukute account yako ina $150 billion utafanya nini?

nita print bank statement kuona ziliko toka. kama ni untraceable fund naenda chumba cha bulky navuta za kutosha afu baada ya hapo usiniulize rada itanisoma nikiwa wapi.
Umehakikishiwa ni za kwako ki halali
 
then ni kucheki kipaumbele chako kilicho kutesa muda wote pengine wa ujana wako wote unakikamilisha...
Nitaenda kwanza Jerusalem mpaka Nazareth nikashuhudie ninayoyasoma kwenye Bible nikimwambia Asante Mungu.

Wale wote wenye nyumba za nyasi kijijini kwetu nitawajengea decent homes.
 
Nitaenda kwanza Jerusalem mpaka Nazareth nikashuhudie ninayoyasoma kwenye Bible nilimwambia Asante Mungu.

Wale wote wenye nyumba za nyasi kijijini kwetu nitawajengea decent homes.
huko kunaitwa kuziwekea ulinzi wa asili hizo fedha vinginevyo zinaweza kupeperuka kama karatasi zilizo chanwachanwa na kutawanywa angani.
 
Nitakutafuta na kuweka mabunda mbele yako na kukuambia ulambe kama karata ukitosheka nikakupige miti.
 
nitachange ziwe buku buku afu nitazibandika kama majani ya miti kwenye kila mti mbaka ziishe
 
Back
Top Bottom