Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Kuna Binti wa kiislamu anafunika uso na mwili safi kabisa na kaolewa,,, alikuwa anapenda kwenda kununua nyama kwenye bucha la jamaa angu mmoja hivi mitaa Fulani jijini daslamu.... Siku moja bana jamaa akamtongoza Binti hakubisha wala nini kiroho safi jamaa akaenda Nae guest kamuweeeka!!! Kwanzia asubuhi jamaa tumemshikia bucha hadi mida yaa saa 10 jioni wanatoka... Ikawa mtindo wao, tukaona sio vizuri tukamwambia jamaa etu aache hiyo tabia ni mke wa mtu na pia ana watoto ingekuwa ndo mkewe angejisikiaje? Jamaa akabisha tukamwambia tunakukataa sisi, ndo jamaa akaogopa akaachana Nae....Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
Itoshe tu kusema hofu ya kweli ya Mungu ndo itamuepusha mtu kufanya mabalaa sio uisilamu na kuvaa majuba au kuwa tu mkristo