To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakika hakikaKaribu sana,yaweza kuwa Mungu amepanga nikutoe Mbeya hadi Moro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hakikaKaribu sana,yaweza kuwa Mungu amepanga nikutoe Mbeya hadi Moro
Njoo mama tumalizie maisha ya hapa dunianiMimi nipo mkuu, kwanini uende mbali🥱
Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
🤣Ulikuwepo wakati wanamegwa ety 2 minutes to 5minNa usisahau, wame-cheat kwenda kupigwa show ya wastani wa dakika 2 hadi 5 tu. Kwahiyo shida siyo kutoridhishwa.
Dawa za mvuto wa mali, mapenzi, kumsahaulisha mdeni wako nk zipo nyingi tu, hata haya makanisa ya miujiza unafikiri mambo ni bure bure? Kuna vitu pale- ukijiunga tu hutakaa upaache unakuwa ka zezeta unatoa hela bila kujijua - kiini macho. Yule mchungaji unamwona kama ndo Mungu mwenyewe anachosema unatii.Unataka kusema jamaa anatumia dawa kuwavuta??
Ina make sense kidogo..ila wengine wewe full utamu utam labda tumuulizie da mkubwa KasieMi naona wanawake wa JF peke yao ndio watakuwa hawacheat,maana madongo na visomo wanavyosoma humu ni shule tosha...
Sasa unaachaje kumuelewa mtu sura anayo na mjegejo anao???Yes madam huyo jamaa ana dawa...
Achana na pesa ila jamaa ana dawa ya kufanya afanye yote hayo..
Mpaka sasa huku bongo kuna wadada washaanza kumwelewa jamaa assume tuu how came...?
Kuna mda bila kuwa na hofu ya Mungu uwezi toboa kwenye mitego kama hii madamu...
Aiseee...mambo ni mengi siku hiziDawa za mvuto wa mali, mapenzi, kumsahaulisha mdeni wako nk zipo nyingi tu, hata haya makanisa ya miujiza unafikiri mambo ni bure bure? Kuna vitu pale- ukijiunga tu hutakaa upaache unakuwa ka zezeta unatoa hela bila kujijua - kiini macho. Yule mchungaji unamwona kama ndo Mungu mwenyewe anachosema unatii.
Mi naona wanawake wa JF peke yao ndio watakuwa hawacheat,maana madongo na visomo wanavyosoma humu ni shule tosha...
Asante mkuuUjumbe maridhawa kabisa huu mkuu.
Hii deep sana mkuuKutoka kimapenzi nje ya mahusiano mtu aliyonayo no asili ya uumbwaji.
Mungu angeweza kuumba mwanadamu mwanamke upya bila kuchomoa ubavu kutoka kwa adamu wa kwanza, utajiuliza je Mungu hakuwa na uwezo huo? Hapana alikiwa nao sababu Mungu ana uwezo mkubwa sana kuhusu hii dunia.
Je Mungu alikuwa mvivu siku hiyo aliona yanini niumbe upya wakati naweza chomoa ubavu tuu na jinsia ya kike ikawa...
What if ....
What if....
Je, kudanganyana kimapenzi/kimahusiano chanzo ni namna mwanadamu alivyoumbwa?
Adamu alilala usingizi wakati mwanamke anaumbwa, alipoamka akakuta kiumbe kinamtizama kiko mbele yake.... kwanini alipigwa anastasia (dawa ya usingizi) wakati mwanamke anaumbwa?
Kwanini Mungu alimficha au hakumuweka wazi namna mwanamke ameumbwa..?
Kuna siri wanaume hawaijui....
Mwanamke ni kiumbe ambaye anaji submit kwa Mungu tuu, and she has much natural power only God knows.
Maisha yana mambo mengi ya kujihusisha nayo, mapenzi ni chachu tuu, ni chachandu tuu, ni chumvi tuu, ni kionjo tuu...
Bila hekima na utulivu unachemka namna ya kuenenda, si mwanamke si mwanaume.
Ngoja ninywe chai sikuelewi kabisa....Kutoka kimapenzi nje ya mahusiano mtu aliyonayo no asili ya uumbwaji.
Mungu angeweza kuumba mwanadamu mwanamke upya bila kuchomoa ubavu kutoka kwa adamu wa kwanza, utajiuliza je Mungu hakuwa na uwezo huo? Hapana alikiwa nao sababu Mungu ana uwezo mkubwa sana kuhusu hii dunia.
Je Mungu alikuwa mvivu siku hiyo aliona yanini niumbe upya wakati naweza chomoa ubavu tuu na jinsia ya kike ikawa...
What if ....
What if....
Je, kudanganyana kimapenzi/kimahusiano chanzo ni namna mwanadamu alivyoumbwa?
Adamu alilala usingizi wakati mwanamke anaumbwa, alipoamka akakuta kiumbe kinamtizama kiko mbele yake.... kwanini alipigwa anastasia (dawa ya usingizi) wakati mwanamke anaumbwa?
Kwanini Mungu alimficha au hakumuweka wazi namna mwanamke ameumbwa..?
Kuna siri wanaume hawaijui....
Mwanamke ni kiumbe ambaye anaji submit kwa Mungu tuu, and she has much natural power only God knows.
Maisha yana mambo mengi ya kujihusisha nayo, mapenzi ni chachu tuu, ni chachandu tuu, ni chumvi tuu, ni kionjo tuu...
Bila hekima na utulivu unachemka namna ya kuenenda, si mwanamke si mwanaume.
Ngoja ninywe chai sikuelewi kabisa....
Kuna mmama mmoja tu hv ana kakitambi ndo niliona kidogo ndo alikuwa yupo vzur na ana pua ya kiasia hv lakin wengine ni wa kawaida sanaSina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.
Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.
Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.