Uamuzi wa ku-cheat ni wake

Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
Kuna Binti wa kiislamu anafunika uso na mwili safi kabisa na kaolewa,,, alikuwa anapenda kwenda kununua nyama kwenye bucha la jamaa angu mmoja hivi mitaa Fulani jijini daslamu.... Siku moja bana jamaa akamtongoza Binti hakubisha wala nini kiroho safi jamaa akaenda Nae guest kamuweeeka!!! Kwanzia asubuhi jamaa tumemshikia bucha hadi mida yaa saa 10 jioni wanatoka... Ikawa mtindo wao, tukaona sio vizuri tukamwambia jamaa etu aache hiyo tabia ni mke wa mtu na pia ana watoto ingekuwa ndo mkewe angejisikiaje? Jamaa akabisha tukamwambia tunakukataa sisi, ndo jamaa akaogopa akaachana Nae....

Itoshe tu kusema hofu ya kweli ya Mungu ndo itamuepusha mtu kufanya mabalaa sio uisilamu na kuvaa majuba au kuwa tu mkristo
 
Kwa hiyo umehitimisha kwa huyo mwanamke mmoja tu wa kiislam sio
 
Zamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......
 
Teh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.

Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Kitambo naanza mahusiano nilikuwa wa design hiyo,, najibaana, nampa pesa ya kutosha namnunulia nguo mara kwa mara,, siku moja nikamfuma Yupo na kijamaa afu namna wilivyovaa na pozi walizo Kaa,,, kuondoa aibu jamaa akazuga kama kaleta kitu pale mara kamkubwa nimeleta mzigo huu,,, sikujibu kitu akajiondokea,, akili ikaniambia chukua simu sms nilizo Kuta,, ikabidi nimuulize.... Anajikanyaga... Namuuliza unakosa nini? Majibu hayaeleweki mwisho wa siku kaomba msamaha eti arudii tena.... Toka hapo nikapunguza kihele mswede chakujifanya najaali... Akawa hapati kitu, Maajabu nilivyo Anza Roho mbaya ndo akatulia..... Badae nikaona nimpotezee tu ila alinifunza jinsi ya kuishi mwanamke na kujipanga namna ya kulea endapo nimepata mtoto wa kike
 
Zamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......
Hebu tueleze kwa kina .. kwa nini useme chuo anazaa?
 
Zamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......
😁😁 mkuu malizia story aisee
 
Nikiwa mtaalam wa ulimwengu usioonekana, nguvu ya madhabahu ya kiza basi nawaambia msiwalaumu hao wanawake - jamaa ametumia nguvu za kiza kuwavuta na angeweza kumpata mwanamke yoyote yule ambaye angekuwa karibu naye.

Hizi nguvu zipo na watu wengi wanazitumia vibaya kama huyu bingwa.
Nyingi ya hizi nguvu wengi wanazitumia kufungua makanisa ya miujiza.

Ni mwanamke pekee anayedumu katika maombi ndiye angepona kuliwa na hili njemba.

Wanawake jifunzeni kusali sana na kumwabudu Mungu wa kweli maana shetani ( nguvu za kiza ) anapemda kuwatumia nyie kupitishia mambo yake.
 
Hiyo ni individual case, haina uhusiano na mafundisho ya Dini ya Uislamu kila jamii kuna wahalifu wanao enda kinyume na mafundisho ya dini zao......tuache kutoa tabia za mtu binafsi kuahakilisha dini zima.
 
Hizi nguvu zinanisymbua mno aiseee
 
Mkuu mimi mtu akiruhusu kucheka tuu basi... Sio mdogo wala mkubwa

Sema kwa sasa nipo katika kipindi cha semen retention ambacho sitoi sperm zangu hovyo japo nakutana na vishawshi mno ila wapi..


Hii hali ya nguvu za ajabu nimeanza kuona hv punde baada ya kuona naweza toka na mtu ambaye level yake ni high kabisa ila ndo hyo hyo nakula.

Wake za watu nawaogop sana japo ndio wanaongoza kwa kuwa na mambo ya ajabu ajabu ...

Mi kuja kuoa bado sana kwa haya nayoyaona hapana ndoa No
 
Tusisingizie nguvu za giza hata kidogo
Ni tabia tu ya umalaya ya wote wawili...shetani mwenyewe anashangaa kilichotokea
 
Tusisingizie nguvu za giza hata kidogo
Ni tabia tu ya umalaya ya wote wawili...shetani mwenyewe anashangaa kilichotokea
Madam Hapana sio tabia..
Ila hili linalo zungumzwa ni ukweli kabisa madam...

Ni kama pepo linakua limemvaa mtu husika.
Mi naongea kwa experience kabisa
 
Unataka kusema jamaa anatumia dawa kuwavuta??
Yes madam huyo jamaa ana dawa...
Achana na pesa ila jamaa ana dawa ya kufanya afanye yote hayo..

Mpaka sasa huku bongo kuna wadada washaanza kumwelewa jamaa assume tuu how came...?

Kuna mda bila kuwa na hofu ya Mungu uwezi toboa kwenye mitego kama hii madamu...
 
Nakukatalia sio dawa....ni tabia za kimalaya malaya tu na wanawake wanaingia mtegoni kirahisi
 
Nakukatalia sio dawa....ni tabia za kimalaya malaya tu na wanawake wanaingia mtegoni kirahisi
Mkuu wa tabia wapo sawa ila kuna dawa pia...

Mkuu kuna dawa aiseee sijui nikuaminishe vipi kuna dawa..

Achana na dawa kuna nguvu sijui nisemeje hapo utaelewa yaani mtu anajikuta anashindwa tuy kukataa ...

Tufanye maombi sana sana sana.
Kuna watu ukisharuhusu aongee na wewe tuu jua tayari.....

Ndo mana nasema bila hofu ya Mungu mungu ni ngumu kutoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…