Uamuzi wa ku-cheat ni wake

Acha ujinga wewe hao wa shungi tunawala sana this is illogical
Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
 
Mi naona wanawake wa JF peke yao ndio watakuwa hawacheat,maana madongo na visomo wanavyosoma humu ni shule tosha...
 
Unataka kusema jamaa anatumia dawa kuwavuta??
Dawa za mvuto wa mali, mapenzi, kumsahaulisha mdeni wako nk zipo nyingi tu, hata haya makanisa ya miujiza unafikiri mambo ni bure bure? Kuna vitu pale- ukijiunga tu hutakaa upaache unakuwa ka zezeta unatoa hela bila kujijua - kiini macho. Yule mchungaji unamwona kama ndo Mungu mwenyewe anachosema unatii.
 
Mi naona wanawake wa JF peke yao ndio watakuwa hawacheat,maana madongo na visomo wanavyosoma humu ni shule tosha...
Ina make sense kidogo..ila wengine wewe full utamu utam labda tumuulizie da mkubwa Kasie
 
Sasa unaachaje kumuelewa mtu sura anayo na mjegejo anao???
Tukubali tu kijana ana mvuto
 
Wanawake na wanaume ni sawa tu.
Wana minyege kama sie
Wana kinai kama sie
Wanapenda kuchokoza kama sie
Kinachowatofautisha ni sie ni jamii ilipowaweka na ilipotuweka, hali inayomfanya mwanamke anayejiheshimu afiche sana hisia na tabia zake.

Ukiwa na mke mwaminifu si kwamba hatamani nje, hakukinai, hana nyege, ni kwamba anajizuia kuharibu image yake mbele za jamii na mbele za MUNGU wake.
 
Aiseee...mambo ni mengi siku hizi
Ila huyu kaka hajatumia dawa ni malaya tu yeye na hao wanawake
 
Mi naona wanawake wa JF peke yao ndio watakuwa hawacheat,maana madongo na visomo wanavyosoma humu ni shule tosha...

Kutoka kimapenzi nje ya mahusiano mtu aliyonayo no asili ya uumbwaji.

Mungu angeweza kuumba mwanadamu mwanamke upya bila kuchomoa ubavu kutoka kwa adamu wa kwanza, utajiuliza je Mungu hakuwa na uwezo huo? Hapana alikiwa nao sababu Mungu ana uwezo mkubwa sana kuhusu hii dunia.

Je Mungu alikuwa mvivu siku hiyo aliona yanini niumbe upya wakati naweza chomoa ubavu tuu na jinsia ya kike ikawa...

What if ....

What if....
Je, kudanganyana kimapenzi/kimahusiano chanzo ni namna mwanadamu alivyoumbwa?

Adamu alilala usingizi wakati mwanamke anaumbwa, alipoamka akakuta kiumbe kinamtizama kiko mbele yake.... kwanini alipigwa anastasia (dawa ya usingizi) wakati mwanamke anaumbwa?

Kwanini Mungu alimficha au hakumuweka wazi namna mwanamke ameumbwa..?

Kuna siri wanaume hawaijui....

Mwanamke ni kiumbe ambaye anaji submit kwa Mungu tuu, and she has much natural power only God knows.

Maisha yana mambo mengi ya kujihusisha nayo, mapenzi ni chachu tuu, ni chachandu tuu, ni chumvi tuu, ni kionjo tuu...

Bila hekima na utulivu unachemka namna ya kuenenda, si mwanamke si mwanaume.
 
Ukiwa mwanaume na ukaongea story za baltasar you can look like stupid handle your game well and about baltasaar it's just stupidity to discuss
 
Hii deep sana mkuu
 
Ngoja ninywe chai sikuelewi kabisa....
 
Kuna mmama mmoja tu hv ana kakitambi ndo niliona kidogo ndo alikuwa yupo vzur na ana pua ya kiasia hv lakin wengine ni wa kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…