EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari,
Alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana, lakini tukio lilimfanya aende chini, sikutaka kusimama pengine wananchi wangenianzishia msala na hapo ni karibu na kituo cha bodaboda nilijua wataanza kunifukuzia lakini nikaona wamekausha.
Basi nikaongeza mafuta na kutokomea kusikojulikana.
Je, ningesimama au uamuzi niliouchukua ulikuwa sahihi?
Kuna kitu nimejifunza kwenye maisha haya saa nyingine stubbornness inasaidia na samaria wema unakutia kwenye matatizo na saa nyingine stubbornness haina msaada ila usamaria unasaidia.