Uamuzi wa kumgonga mzembe na kukimbia ni sahihi au sio sahihi?

kiufupi mkuu hujafanya sawia kabisa
Ulitakiwa usimame ujue labda kaumia sana au lah.
Na huenda ameumia sana na kwake yeye ndio mtafuta ridhiki , sasa wanae wataishije? .
Siku utakuja kujua haya lakini utakuwa umechelewa sana
Mkuu unachoongea ni sahihi lakini vipi na mimi usalama wangu maana huwa hawajisumbui kujiridhisha nini kimetokea wakifika tu ni kichapo kinaanza
 
ni kweli lakini ulitakiwa uchague kusuka au kunyoa kama ungesimama kumuangalia ina maana kwamba umekubali kukutana na lolote.

Na kama uliendelea na Safari basi imeshapita. Muda ndio utaongea tu mkuu
 
Nimejikuta naumia Mimi japo hujanigonga. Ila jiulize maswali haya.
1.vipi kama mama ulyemgonga ndiye bread winner huko kwake,wataishije?
2.je angekuwa mama yako mzazi ndo amekumbana na kadhia hiyo ungejiskiaje?

Nyie ndio aina ya watu mnaoipaka tope kazi ya bodaboda.....

Hujashinda kwa sababu KARMA is real....bladfaken
Bora angekuwa amemgonga mbaba, inauma sana alichofanya
 
Ulichofanya sio sahihi kabisa. Hata kama kuna risk kiasi gani lakini ilibidi usimame na kumsaidia huyo mama. Vipi kama ameumia ndani kwa ndani? Mimi niliwahi kugongwa na bodaboda wakati nafanya mazoezi ya kukimbia asubuhi. Na yule dogo alisema sorry brother na kukimbia. Niliumia na kuchubuka magotini na nilikuwa najiandaa na Zanzibar International marathon hivyo sikwenda.

Yule dogo mpk leo najiuliza kwa nini hakusimama kunijulia hali. Roho imeniuma sana maana mpk leo nina mambunye (alama za magotini za kuchubuka) ndio zinapona pona
 
Nimejikuta naumia Mimi japo hujanigonga. Ila jiulize maswali haya.
1.vipi kama mama ulyemgonga ndiye bread winner huko kwake,wataishije?
2.je angekuwa mama yako mzazi ndo amekumbana na kadhia hiyo ungejiskiaje?

Nyie ndio aina ya watu mnaoipaka tope kazi ya bodaboda.....

Hujashinda kwa sababu KARMA is real....bladfaken

Kuna watu wajinga sana humu duniani, yaani roho katili.
 
Nimejikuta naumia Mimi japo hujanigonga. Ila jiulize maswali haya.
1.vipi kama mama ulyemgonga ndiye bread winner huko kwake,wataishije?
2.je angekuwa mama yako mzazi ndo amekumbana na kadhia hiyo ungejiskiaje?

Nyie ndio aina ya watu mnaoipaka tope kazi ya bodaboda.....

Hujashinda kwa sababu KARMA is real....bladfaken
Nimewaza kama wewe
 
Kuna jamaa yangu alimgonga mlevi mmoja USIKU wa manane akiwa HIGHWAY pale mikumi 2010.

Kwa usamalia wema,
akasimama na kumpeleka majeruh hospital.

Ndugu walipofika,
Wakakuta ndugu yao keshapata matibabu ya awali na anaendelea vizur.

Jamaa alipoona wamefika, Akataka awakabidhi Mtu wao na pesa kadhaa za kuendeleza matibabu akaendelee na shughuli zake.

Ndugu wakamgomea,
wanakomaa jamaa amtibie ndugu yao mpaka apone kabisa atoke hospital.

jamaa akakubali,
Pesa ikaanza kumtoka na alimgharamia matibabu na chakula kwa miezi 6 mfululizo .

Mwezi wa 7 Katikati ya matibabu,
Ndugu Wakamwambia, jamaa ndio anategemewa kwaiyo anapaswa kutuma na Ela za matumiz kwa MKE na watoto wake.

Jamaa akaguswa na kweli akakubali.
Na akawa anasapoti familia ya yule majeruh kadri alivyoweza.

Mwezi wa 10 Katikati ya Matibabu,
Ndugu wakamwambia na watoto wawili wa majeruhi shulen wamefukuzwa wanadaiwa ada,
kwaiyo anawajibika kuwalipia.

Jamaa akaona huu mpumbavu Sasa,
Akaachana nao liwalo na liwe,

Akawa anajisemea
"Wema na ubinadamu wangu kwa ndugu yao nliemgonga akiwa kalewa imefkia Sasa wameniona Kama MSUKULE WAO, Sifanyi huo upumbavu LIWALO NA LIWE"

Ndugu wakakimbilia mahakamani,
Hukum ikatoka na Ikaonekana ndugu yao aliyegongwa ndiye alokua na makosa na jamaa hakupaswa kuwajibika kugharamia Matibabu.

Ndugu wakarud kwa jamaa awasiliane na watu wake wa bima wawasaidie kuendelea kugharamia matibabu.

Jamaa akawaelekeza ofisi zao zilipo, Kisha akakaa zake pembeni.
Bima nao wakawa wanawapiga TU kalenda uku bill hospital inazd TU kupanda.

Wakamrudia jamaa kwa upole,
ILI aendelee kuwasapoti.

Jamaa akawakatalia kwa maana Tangu mwanzo alionyesha wema, wakaona haitoshi wakamburuza mahakamani.

KWAIYO AKAWAACHA WAENDELEA NA NDUGU YAO.
 
Na asilimia kubwa ya wanaogogwa ni uzembe wao.
 
Wazungu wametuzidi sana mwaka 2000 uwanja wa Ndege wa Cape Town rubani mmoja aliamua kupunguza mwendo wa ndege iliyokua inataka kupaa ili asigonge vile vinyama vidogo vyenye mkia mrefu kilikua kinakatiza uwanja na abiria wakatangaziwa ndege ikarudi kwa ajili ya kujianza upya nakumbuka yule Mmarekani alipata tuzo nyingi SA pamoja na kujali wanyama kwa miaka miwili mfululizo wewe huku binadamu mwenzio upo na boda boda unaona sawa tuu kumgonga na kuja kuanzisha uzi Mungu akusaidie sana kwa kweli...
 
Kumbe humu kuna watu wana boda, si tulikubaliana wote humu ni magari tu!!!😁
 
Na asilimia kubwa ya wanaogogwa ni uzembe wao.
Kuna mijitu humu haitakuelewa,yenyewe imekariri tu kila anaegongwa kosa ni la dereva,mtu yeyote wanatumia barabara lazima awe makini
 
Back
Top Bottom