Mimi nipo upande wako kukuunga mkono.
Hapa nieleweke siungi mkono kugonga watu barabarani hapana.
Ninachokuunga mkono ni kutosimama na kudhalilishwa baada ya ajali.
Na katika kugonga kuna kusababisha na kusababishiwa na ndo maana kukawa na wapima wa makosa.
Hili lilishanitokea mimi.
Tunafundishwa kutenda utu inapotokea ajali, lakini uliyesababisha ajali iwe kwa uzembe wako ama kwa uzembe wa mtumia barabara mwingine, uzito hubebeshwa wewe.
Sasa, kwa kuwa kuna vyombo vyote vya sheria vinavyohusiana na mambo ya sheria za usalama barabarani, basi ndiyo wenye jukumu la kunifuatilia na kuniwajibisha pindi nifanyapo faulo barabarani.
Kusimama ni kurisk maisha yako na ya chombo unachomiliki pia ni kujihukumu kuwa umekosa.
Sent using
Jamii Forums mobile app