EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Uhajua mahali ulipo au bado uko kusikojulikana?nikaongeza mafuta na kutokomea kusiko julikana
Mambo mengi sio uzembe kama ajali sio kubwa ya kifo unasimama tu.Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhar,alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana,lakini tukio lilimfanya aende chini,sikutaka kusimama pengine wananchi wangenianzishia msala na hapo ni karibu na kitua cha mabodaboda nilijua wataanza kunifukuzia lakini nikaona wamekausha basi nikaongeza mafuta na kutokomea kusiko julikana.Je ningesimama au uamuzi niliouchukua ulikuwa sahihi.Kuna kitu nimejifunza kwenye maisha haya saa nyingine stubbornness inasaidia na samaria wema unakutia kwenye matatizo na saa nyingine stubbornness haina msaada ila usamaria unasaidia.
Kusikojulikana ni kwao walioshuhudia ila kwangu kunajulikana nilikotokomeaUhajua mahali ulipo au bado uko kusikojulikana?
Sawa.Hapa uko na bodaboda tu lakini unatugongea ndugu zetu hivi, siku ukipata hata IST tu si utatuvunja viuno kabisa? Mbona kama ni issue ya tahadhari ni ndogo sana? Unajua kitu kinaitwa defensive driving? Hukufanya poa kabisa
Sijaua mkuu.Mambo mengi sio uzembe Kama ajali sio kubwa ya kifo unasimama tu Ila Kama umeua kimbilia kituo Cha karibu au kwa trafic
Aisee kweli jamaa yangu umetisha sanaNimejikuta naumia Mimi japo hujanigonga. Ila jiulize maswali haya.
1.vipi kama mama ulyemgonga ndiye bread winner huko kwake,wataishije?
2.je angekuwa mama yako mzazi ndo amekumbana na kadhia hiyo ungejiskiaje?
Nyie ndio aina ya watu mnaoipaka tope kazi ya bodaboda.....
Hujashinda kwa sababu KARMA is real....bladfaken
Nilikuwa 20mph mkuu,namuita mzembe kwasababu huwezi vuka barabara ambayo iko bize kama kwamba unaingia msalani.Ulikuwa speed ngapi??Na hiyo barabara speed limit ngapi?
Why umuite mtu mzembe?Unajua kuna wenye ulemavu wa akili pia?
Drive responsibly ..manake jali Hadi wanyama..
Angekuwa bata wanavuka ungewakanyaga???
Nilikuwa namuangalia mbele na aliibuka tu ghafla Road pasipo mimi kutegemea nilishindwa hata kusimamaKama huyo mama alikuwa anaangalia mbele wewe ulikuwa unaangalia wapi? kama nawe ulikuwa unaangalia mbele kwanini umgonge?