Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
mkuu watu wana stress sana waonee huruma mwingine huwa yuko bar kimwili lakini akili yake iko mwanza mwingine mshamba ndio kaja mjiniSiku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari, alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana,lakini tukio lilimfanya aende chini,sikutaka kusimama pengine wananchi wangenianzishia msala na hapo ni karibu na kituo cha bodaboda nilijua wataanza kunifukuzia lakini nikaona wamekausha basi nikaongeza mafuta na kutokomea kusikojulikana.
Je, ningesimama au uamuzi niliouchukua ulikuwa sahihi?
Kuna kitu nimejifunza kwenye maisha haya saa nyingine stubbornness inasaidia na samaria wema unakutia kwenye matatizo na saa nyingine stubbornness haina msaada ila usamaria unasaidia.
mi nikimuona mtu mzembe huwa nampigia honi kali hadi ajione mjinga na gari yangu ilivyo na honi kali lazima nikukele kama ulivyonikela kuzubaa zubaaMnaomkandia mtoa mada hayawahi kuwakuta humo barabara.
Usumbufu utakaoupata baada ya usamalia wako, utajuta kuzaliwa.
Mwingine ukimpigia honi Kali unamvuruga Akili,mi nikimuona mtu mzembe huwa nampigia honi kali hadi ajione mjinga na gari yangu ilivyo na honi kali lazima nikukele kama ulivyonikela kuzubaa zubaa
Sijamgonga makusudi mkuu.Niko zangu tu nasonga mdogomdogo nakuta tu mtu anavuka road wala hata haangalii pembeni nikashindwa hata kusimama wa kumkwepa kutokana na ukaribu.Siku zote humu barabarani natembea kwa miguu anapaswa kuangalia kama ni salama kuvuka na kama ni salama tu then anavuka lakini kuvuka tu barabara kama unaenda chooni ni uzembe.Tusitupiwe tu lawama waendesha vyombo vya motoMimi najiona sina huruma kumbe ni beginner tu kwenye hii sekta.
Mkuu yaani unawezaje kumgonga mtu ambaye ulikuwa na uwezo wa kumuepuka kisa alikuwa akiangalia mbele tu, umeshindwa kujiuliza labda ana matatizo ya kusikia nk
Tena mtu mwenyewe ni mmama pia umemwita mzembe?
Mimi mwanamke yoyote wa makamo ambaye kwa nje anaonekana ni mstaarabu huwa namuona kama mama wa mwingine hivyo nakuwa na huruma na kuheshimu sana sababu nahisi je akitendewa mzazi wangu mimi nitajisikiaje?
Fikiria mimi nimgonge mama yako mzazi makusudi kisha nimuite mzembe tena nije kuanzisha uzi huku wewe ungejisikiaje?
Mimi nashindwa kumuelewa binadamu ndio maana simuamini wala kumchekea.
Mkuu ulichofanya sio ubinadamu pia sio vizuri wala uungwana.
Mara mia moja ungemgonga mwanaume kuliko mwanamke mwenye cheo cha mama, nimejisikia vibaya sana..
huwa nimejiandaa mguu kwenye breki si unajua jinsi tunavyo drive gari dar umakini asilimia 100Mwingine ukimpigia honi Kali unamvuruga Akili,
Badala ya kulikimbia gari, kiwewe kinamfanya alifate huko huko.
SIO vizur kupiga honi ushamkaribia Mtu.
Hakuamini macho yake kwamba aliyemgonga ni baba mmoja na mama mmoja .Ni dada yake wa toka ni tokea!!!Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari,
Alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana, lakini tukio lilimfanya aende chini, sikutaka kusimama pengine wananchi wangenianzishia msala na hapo ni karibu na kituo cha bodaboda nilijua wataanza kunifukuzia lakini nikaona wamekausha.
Basi nikaongeza mafuta na kutokomea kusikojulikana.
Je, ningesimama au uamuzi niliouchukua ulikuwa sahihi?
Kuna kitu nimejifunza kwenye maisha haya saa nyingine stubbornness inasaidia na samaria wema unakutia kwenye matatizo na saa nyingine stubbornness haina msaada ila usamaria unasaidia.iwahi tokea mtu kamgonga mwanamke akaanza kukimbia watu walimfukuza wakamkamata wakamrudisha kwenye tukiobalipomgongea huyo mama,
Lakini huoni hayo mawazo yake yanamuhatarishia maisha yake sidhani kama inaweza kuwa sababu ya kutokuwa makini barabaraniHakuamini macho yake kwamba aliyemgonga ni baba mmoja na mama mmoja .Ni dada yake wa toka ni tokea!!!
Wengine hutembea wakiwa na madarakani ya kwenye ndoa.Wanatembea wakiwa na mawazo kichwani.Usikute katelekezewa watoto watatu na yeye ndiye akajihangaikie kazi hana.Hukufanya jambo zuri.
Rudi ukamtafutd huyo mama ujifanye Msamaria mwema ukamsaidie hela ya matibabu.
Usipofanya hivyo kuna karma, Utakuja kuilipa kama si wewe basi kizazi chako.Nenda kajitakase.
Mwenzako ile Sabaya aliambiwagwa na lema aache kutesa watu.Magufuri atakufa leo kipo wapi???
Ilishawahi kupatwa shida nzito ya kifamilia hadi kufikia kujiua?Lakini huoni hayo mawazo yake yanamuhatarishia maisha yake sidhani kama inaweza kuwa sababu ya kutokuwa makini barabarani
Ulifanya vema , siku nyngine achukue tahadhari huyo mama.Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari,
Alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana, lakini tukio lilimfanya aende chini, sikutaka kusimama pengine wananchi wangenianzishia msala na hapo ni karibu na kituo cha bodaboda nilijua wataanza kunifukuzia lakini nikaona wamekausha.
Basi nikaongeza mafuta na kutokomea kusikojulikana.
Je, ningesimama au uamuzi niliouchukua ulikuwa sahihi?
Kuna kitu nimejifunza kwenye maisha haya saa nyingine stubbornness inasaidia na samaria wema unakutia kwenye matatizo na saa nyingine stubbornness haina msaada ila usamaria unasaidia.
Japo huyu alikuwa mzembe lakini kuna wenye viburi anakuona kabisa unakuja lakini anavuka akiamini utasimama au kumkwepaUlifanya vema , siku nyngine achukue tahadhari huyo mama.
Kuna watu wanafikiri barabara ni sitting room.
Mi mbonagari yangu inaitwa avon na haipandi mlima?Kumbe humu kuna watu wana boda, si tulikubaliana wote humu ni magari tu!!![emoji16]
Mimi nipo upande wako kukuunga mkono.Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari,