Uamuzi wa kumgonga mzembe na kukimbia ni sahihi au sio sahihi?

Kweli mkuu unaweza ukasimama kwa nia njema tu lakini ukaja kujuta.Tatizo la watu wa kawaida wengi akili ndogo ndio hao wakija nikuanza kukudunda pasipo zingatia mazingira ya tukio.Pamoja na hayo tusifichefiche Luna wengine wanagongwa kwa uzembe na wengine wanagonga kwa uzembe.ila kwa kesi yangu niseme tu sikumgonga kwa makusudi ila angekuwa makini nisinge mgonga
 
Kabla hujasimama kuna vitu vingi vya kufikiria kwa haraka haraka.
Je una kiasi cha pesa za kumsaidia matibabu?Kuna huna hela utaaibika tu lakini kama uko na hela unaweza kuwatuliza raia wenye hasira kali wakakuelewa,watategemea uoneshe uungwana kwa kumbeba huyo muathurika na kumpeleka hospitali.
Watu hawatakuelewa ukisimama na kutoa maneno matupu ya kumwambia pole.
 
Sio kila mtu ni mzembe ukute huyo mama kapatwa na matatizo makubwa mawazo yote yapo mbali.

Au kapewa taarifa mbaya ghafla

Ulichokifanya sio vizuri
Au ana matatizo ya akili....

Hivi unajua mbinguni tutaenda mimi na wewe peke yetu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚na ntakua ndani ya uzi mpya wa yanga
Au ana matatizo ya akili....

Hivi unajua mbinguni tutaenda mimi na wewe peke yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…