Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Mahakama ya hovyo sn
 
Nchi za dunia ya tatu hazijui tofauti ya siasa na sheria, kwao siasa ni sheria kumbe sivyo. Tena mtu anasimama kwa kujiamini, eti ni uhaini, anajua maana ya uhaini? Uhaini ni kama wa Kenya juzi, walitaka kuingia ikulu. Je Lissu alitaka kuingia ikulu?
Tuna sheria za kipumbavu sn
 
Huyo mhaini afungwe, jinga kabisa dume zima linanunuliwa na wazungu kuharibu nchi yetu? Haitawezekana asilani.
 
Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
Wenye ubongo wa sisimizi kama wewe ndiyo umemsahau lakini maboss wenu huko jumba jeupe hawapati usingizi kwa upuuzi waliofanya kumshitaki Lissu kwa kesi ya uhaini wa mchongo na hadi kufika sasa hii kesi imeshawapalia kumeza wanashindwa na kutema wanaona aibu.
 
He is looking healthier
 
Kapoa sana na bado hajafikisha mwaka mmoja mahabusu hatujategemea atatembelea ringi mapema, alafu ndo anataka kinuke kikinuka ataweza kweli ku survive au ndo atakimbilia Belgium kama kawaida yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…