chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Yego chikaka, wagenda kumamayo? Nyoko mwana aliyo? Bwatombwaga mwanawasu?Toa uchawi wa bwina kufuga mamba na kujamba udaga
Yego chikaka, wagenda kumamayo? Nyoko mwana aliyo? Bwatombwaga mwanawasu?Toa uchawi wa bwina kufuga mamba na kujamba udaga
Lissu amefungua kesi dhidi ya serikali akipinga uwepo wa mashahidi wa kusadikika yaani wasioonekana! Hii ni haki yake kikatiba kumuona shahidi wa upande wa mashitaka.Hii kesi ingefutwa tu Haina maslahi kwa umma...
Kwahiyo tunawezasema serekale ina invisible witnessLissu amefungua kesi dhidi ya serikali akipinga uwepo wa mashahidi wa kusadikika yaani wasioonekana! Hii ni haki yake kikatiba kumuona shahidi wa upande wa mashitaka.
Wewe taahira kangara limeshakuharibu ubongo wako. Chawa wa Samia mna maujinga mengi sana.No Reforms No Election.Kibwengo baba yako
Yaani serikali ina mashahidi vibwengo, kweli Samia amechanganyikiwa.Lissu amefungua kesi dhidi ya serikali akipinga uwepo wa mashahidi wa kusadikika yaani wasioonekana! Hii ni haki yake kikatiba kumuona shahidi wa upande wa mashitaka.
Makamanda mkwara.KiwasheniLabda wewe umemsahau lakini mwamba bado sana tuko naye noreforms no election
Wanaimba tu hajitambuiww jamaa, akili zimekurudi?
Hujui unachopiganiaNO REFORMS ON ELECTION
Acha isikilizwe hadi mwisho ina maslahi mapana kwa umma.Unadhani kikinukishwa mimi mkulima nitaenda kulima wapi?Hii kesi ingefutwa tu Haina maslahi kwa umma...
Braza K ametangaza uhaini hadharani.Lissu sio mhaini. Ni mbinu tu za serekali na ccm kuidhibiti CHADEMA.
NoReformNoElection
Ujin°°°ga mzigoAcha isikilizwe hadi mwisho ina maslahi mapana kwa umma.Unadhani kikinukishwa mimi mkulima nitaenda kulima wapi?
Tunataka tuone kama kitanzi nacho kitashindwa.Yaani serikali ina mashahidi vibwengo, kweli Samia amechanganyikiwa.
Nilitaka nicomment hivi kwenye uzi wa jamaa anazungumzia deep state.Risasi zilishindwa ndio kitanzi kitaweza?
Kama MUNGU hajaruhusu hata mkimuweka ndani miaka mitano ni kazi bure.
Hata mtu akilindwa na jeshi kama Mungu hajafurahi ni kazi bure.
Mfano mzuri unao.
Leo Lissu kesho Mtoto wako au mjukuu wako.LAZIMA ale kitanzi!
Unadhalilisha wajita kwa kuwa mwenye kichwa kibovu miongoni mwaoYego chikaka, wagenda kumamayo? Nyoko mwana aliyo? Bwatombwaga mwanawasu?
Mbona umepotea bila kutujuza yanayoendelea (updates) za ndani ya mahakama aisee..?Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.
Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.
Katika maombi hayo Lissu anadai kutowafahamu mashahidi hao wa siri kuna athiri haki yake ya kujitetea ipasavyo na inaweza kupelekea maamuzi yenye athari kubwa kwake binafsi.
====
Updates
Ukumbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Court No. 2 inaposikilizwa kesi ya Tundu Lissu unaingiza watu 50. Idadi hiyo ni pamoja na Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi na askari magereza. Hivyo kwa wastani wameingia wananchi 20.
Lissu sio mhaini. Ni mbinu tu za serekali na ccm kuidhibiti CHADEMA.
NoReformNoElection
Limana lyanyokoYego chikaka, wagenda kumamayo? Nyoko mwana aliyo? Bwatombwaga mwanawasu?