Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Risasi zilishindwa ndio kitanzi kitaweza?
Kama MUNGU hajaruhusu hata mkimuweka ndani miaka mitano ni kazi bure.
Hata mtu akilindwa na jeshi kama Mungu hajafurahi ni kazi bure.
Mfano mzuri unao.
The cards are on the table.
 
No reforms No election
 

Attachments

  • 20250608_000820.jpg
    133.2 KB · Views: 15

27 June 2025
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, Kwenye kesi hii ya Lissu ambayo anaiomba Mahakama irejee uamuzi wa awali wa hakimu anayeendesha kesi ya uchochezi inayomkabili, ambaye alikubali maombi ya upande wa Jamhuri kusikiliza ushahidi wa mashahidi wa siri bila ya Lissu kuwafahamu. Lissu aliwasilisha kesi hiyo kwa sababu anaona jambo hilo linaathiri haki yake ya kujitetea ipasavyo na inaweza kupelekea maamuzi yenye athari kubwa kwa upande wake.


View: https://m.youtube.com/watch?v=XIGRlAUfQvk
 
Lissu anajishughulisha na mambo gani hapa Tanzania
 
CCM wanaogopa uchaguzi huru na haki - yaani huyo mama atapigwa asubuhi saana.

NO Reforms No Election.

Ukikutana na chama cha upinzaji ama kiongozi wa upinzaji anasema ni mwaka wa kupiga na kulinda kura elewa huyo ni Kanjanja wa CCM - kashaahidiwa ubunge wa kupewa na CCM.

Yaani imefikia hatua CCM inahonga hadi Ubunge - hii ni hatari saana kwa Demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…