Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Hii kesi ingefutwa tu Haina maslahi kwa umma...
Lissu amefungua kesi dhidi ya serikali akipinga uwepo wa mashahidi wa kusadikika yaani wasioonekana! Hii ni haki yake kikatiba kumuona shahidi wa upande wa mashitaka.
 
Lissu amefungua kesi dhidi ya serikali akipinga uwepo wa mashahidi wa kusadikika yaani wasioonekana! Hii ni haki yake kikatiba kumuona shahidi wa upande wa mashitaka.
Yaani serikali ina mashahidi vibwengo, kweli Samia amechanganyikiwa.
 
Risasi zilishindwa ndio kitanzi kitaweza?
Kama MUNGU hajaruhusu hata mkimuweka ndani miaka mitano ni kazi bure.
Hata mtu akilindwa na jeshi kama Mungu hajafurahi ni kazi bure.
Mfano mzuri unao.
Nilitaka nicomment hivi kwenye uzi wa jamaa anazungumzia deep state.
Kiujumla wanadamu tunajisahau sana kwenye suala la uhai.
 
Mbona umepotea bila kutujuza yanayoendelea (updates) za ndani ya mahakama aisee..?

Title ya uzi wako haikupaswa kuwa "YANAYOJIRI MAHAKAMANI - KESI YA TUNDU LISSU" kwa sababu umenyuti kimya, husemi wala kuandika lolote linalojiri ndani ya mahakama...

Umezingua sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…