Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Nyie mnataka wateuliwe na nani!!?
Una level gani ya ELIMU?
Unaelewa maana ya tume huru na wajumbe wanavyo patikana kweli?Una mfano wa nchi unao ujua wenye tume huru ?

Ifike sehemu CCM iachs kuajiri vilaza kama wewe?
 
Una level gani ya ELIMU?
Unaelewa maana ya tume huru na wajumbe wanavyo patikana kweli?Una mfano wa nchi unao ujua wenye tume huru ?

Ifike sehemu CCM iachs kuajiri vilaza kama wewe?
We punguani mkubwa wewe, hebu nipe mfano wa hiyo nchi yenye tume huru.
 
Ona sasa mifano yako, mbona Kenya umeiruka!!? Au unaona kinyaa

..mimi nimekutajia Afrika Kusini, na Ghana, kwamba wana Tume Huru za uchaguzi. Shida iko wapi?

..sasa hebu nieleze madhara ambayo Tanzania itayapata ikiwa tutakuwa na Tume Huru iliyoridhiwa na vyama vyote vya siasa.

..hii nchi ni yetu sote. Tutendeane HAKI.
 
The cards are on the table.
At the end of the day, we shall all die. Even the one who is orchestrating Lissu's death. The good thing is that, the bible categorically stipulates that, man will live for seventy years or seventy seven.
Now imagine if one is at the ripe age of sixty six, how many years does he have before he comes face to face with his maker?😞
The other good thing is that, neither me nor you knows if we shall be alive tomorrow.
 
Vyama gani?
 
..vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa Tanzania vikubaliane katika suala la Tume na namna ya kuendesha uchaguzi.
Vyama ambavyo having hata uwezo wa kujisimamia especially machadema kutwa wako mitaani kwa wazungu wanalipiwa kila kitu walete maujinga yao ndio unaviita vyama vya siasa!! How pathetic!!
 
Vyama ambavyo having hata uwezo wa kujisimamia especially machadema kutwa wako mitaani kwa wazungu wanalipiwa kila kitu walete maujinga yao ndio unaviita vyama vya siasa!! How pathetic!!

..ilimradi ni vyama vyenye usajili halali kwa mujibu wa sheria zetu basi hatuna budi kusikiliza maoni yao kuhusu Tume na namna ya kuendesha uchaguzi.

..kuhusu vyama kufadhiliwa na mataifa ya nje hiyo ni hoja ya kwenye majukwaa ya siasa na wananchi wanao upeo wa kuamua nini cha kufanya ktk sanduku la kura.
 
Vyama ambavyo having hata uwezo wa kujisimamia especially machadema kutwa wako mitaani kwa wazungu wanalipiwa kila kitu walete maujinga yao ndio unaviita vyama vya siasa!! How pathetic!!
Mbona serikali Yako inakiogopa CHADEMA?
Nguvu ya wananchi haiwezi kushindwa na genge la Wala rushwa wachache Kama wewe.
 
Hakuna mwenye akili timamu humo, Mwenyekiti mwenyewe ana faili milembe, atashauri nini kutwa kupiga makelele mpaka mahakamani!!
 
NENR
 
Hakuna mwenye akili timamu humo, Mwenyekiti mwenyewe ana faili milembe, atashauri nini kutwa kupiga makelele mpaka mahakamani!!

..hoja na maoni ya Cdm kuhusu Tume yanajulikana, hayana ubaya wowote, yanapaswa kufanyiwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…