Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.
Wanaficha nini?
 
Nchi za dunia ya tatu hazijui tofauti ya siasa na sheria, kwao siasa ni sheria kumbe sivyo. Tena mtu anasimama kwa kujiamini, eti ni uhaini, anajua maana ya uhaini? Uhaini ni kama wa Kenya juzi, walitaka kuingia ikulu. Je Lissu alitaka kuingia ikulu?
mkuu watu wenye akili timamu hapo hakuna kesi ,kuna agenda ya kuisimamisha no refome no election. mimi baada ya kuona pale mahakamani wanaosema uhaini hawataki kuleta ushaidi mwezi wa pili sasa, wanasema bado haujakamilika na wakati wamemshtaki kwa Maneno aliyosema ,lakini hawataki kupeleka mahakamani, nikaona hapo hakuna huaini wala Serikali yenye akili timamu. muda Wote huo wanasema hawana ushaidi sasa lisu kawabana letěni mwendelezo mmefikia wapi? hawaeleweki na sasa wanawataka kuleta ushaidi wa siri .maana kibatala alikuwa anawachekea maana muda Wote wanarukaruka tu yeye anawaacha tu. wanaenda kupata aibu mapema sana anawakataka kufunuua. yule mtu wa jamhuri kichwani hakuna kitu kabisa , lisu anaeleweka kwenye kujenga hoja
 
Hivi serikali inataka kuleta mashahidi wa siri kwa ajili gani.. yani wanataka kuleta mahakamani watu waliovalia kininja ili tusiwajue..
Pambaff sana
 
..Raisi amegoma kutekeleza sheria mpya ya uchaguzi.

..Sheria imeelekeza uchaguzi serikali za mitaa usisimamiwe na Tamisemi, lakini Raisi akapuuza sheria.

..Sheria imeelekeza kuhusu mchakato wa kuteua Mwenyekiti, Makamishna, na Katibu wa Tume, lakini Raisi amepuuza.

..Muenendo huo hauongezi bali unapunguza imani ktk Tume, na uchaguzi katika ujumla wake.
Alafu kuna wengine wanaona kama reforms tayari zimefanyika!
 
Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
Kusema uongo ni kawaida kwenu, kama ilivyo kwa mtu wenu Samia Sulughu Hassan.
Kama huamini, nenda kasome hotuba yake aliyoitoa Bungeni kusitisha Bunge hilo.
Mambo mnayasema kinyume nyume na mnavyo yajuwa!
 
Kusema uongo ni kawaida kwenu, kama ilivyo kwa mtu wenu Samia Sulughu Hassan.
Kama huamini, nenda kasome hotuba yake aliyoitoa Bungeni kusitisha Bunge hilo.
Mambo mnayasema kinyume nyume na mnavyo yajuwa!
Hata usipoteze muda kuwajibu watu hao
 
No reform no election haina chembe chembe wala harufu ya mapinduzi, serikali ilinusaje na kusikia hiyo harufu ya mapinduzi?
 
Back
Top Bottom