Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Wanaficha nini?Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.
Umemsahau weweLissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
mkuu watu wenye akili timamu hapo hakuna kesi ,kuna agenda ya kuisimamisha no refome no election. mimi baada ya kuona pale mahakamani wanaosema uhaini hawataki kuleta ushaidi mwezi wa pili sasa, wanasema bado haujakamilika na wakati wamemshtaki kwa Maneno aliyosema ,lakini hawataki kupeleka mahakamani, nikaona hapo hakuna huaini wala Serikali yenye akili timamu. muda Wote huo wanasema hawana ushaidi sasa lisu kawabana letěni mwendelezo mmefikia wapi? hawaeleweki na sasa wanawataka kuleta ushaidi wa siri .maana kibatala alikuwa anawachekea maana muda Wote wanarukaruka tu yeye anawaacha tu. wanaenda kupata aibu mapema sana anawakataka kufunuua. yule mtu wa jamhuri kichwani hakuna kitu kabisa , lisu anaeleweka kwenye kujenga hojaNchi za dunia ya tatu hazijui tofauti ya siasa na sheria, kwao siasa ni sheria kumbe sivyo. Tena mtu anasimama kwa kujiamini, eti ni uhaini, anajua maana ya uhaini? Uhaini ni kama wa Kenya juzi, walitaka kuingia ikulu. Je Lissu alitaka kuingia ikulu?
Alafu kuna wengine wanaona kama reforms tayari zimefanyika!..Raisi amegoma kutekeleza sheria mpya ya uchaguzi.
..Sheria imeelekeza uchaguzi serikali za mitaa usisimamiwe na Tamisemi, lakini Raisi akapuuza sheria.
..Sheria imeelekeza kuhusu mchakato wa kuteua Mwenyekiti, Makamishna, na Katibu wa Tume, lakini Raisi amepuuza.
..Muenendo huo hauongezi bali unapunguza imani ktk Tume, na uchaguzi katika ujumla wake.
Una level gani ya ELIMU??We punguani mkubwa wewe, hebu nipe mfano wa hiyo nchi yenye tume huru.
Kusema uongo ni kawaida kwenu, kama ilivyo kwa mtu wenu Samia Sulughu Hassan.Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
Hata usipoteze muda kuwajibu watu haoKusema uongo ni kawaida kwenu, kama ilivyo kwa mtu wenu Samia Sulughu Hassan.
Kama huamini, nenda kasome hotuba yake aliyoitoa Bungeni kusitisha Bunge hilo.
Mambo mnayasema kinyume nyume na mnavyo yajuwa!
HaihusianiUnashangilia, na hapo ukute Wazazi wako ni choka mbaya sana kule Bushi, mnajitoa sana ufahama na hizi fake Id zenu,
Kwa sababu ni mashahidi ambao hawakushuhudia tukio bali wanapewa ushahidi toka kwa wasuka kesi.Kwanini Mashahidi iwe Siri?
Nyie msiomjua mko wangapi na ni akinanani waliokutuma, jifunze kujisemea mwenyewe bila kushirikisha wengine.Lissu ni nani kwa sisi tusiomjua!?
Jibu swali sasaNyie msiomjua mko wangapi na ni akinanani waliokutuma, jifunze kujisemea mwenyewe bila kushirikisha wengine.
Level ya makalio yako!Una level gani ya ELIMU??
maofisa mitandaoni walimbaini wakati wako doriaLissu kapelekwa gerezani, alijiapisha kwamba ni mhaini?