Jamaa zako hawajielewi wale , sjui huwa wanaahidiwa upolisi au ujeda , huwa wanawafanyia ukatili sana hasa wamama wanaopanga vi nyanya , samaki , matunda , nishawahi wakuta wanapindua meza na kumwaga vitu kibabe na magwanda yao, mama akabaki amejikunyata tuusi vizuri kudharau kazi ya mtu
Kwani kumfukuza Mmachinga sehemu ni lazima uchukue vitu vyake?Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.
Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara katika maeneo yasioruhusiwa na watekelezaji wa amri hiyo ni mgambo. Sasa kama mgambo waliokuwa wanatekeleza amri halali- kosa lao ni lipi mpaka wastahili kufukuzwa kazi?
Tuwafanye nini sasa waliowatoa machinga pale Makoroboi na sehemu zingine?
Nawashauri mgambo hao wafungue kesi ya kufukuzwa kazi kwa uonevu
Ukisikia kusagiana kunguni ndiyo huku. Wewe hata hauwasikitikii mgambo husda yako inajulikanaTumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.
Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara katika maeneo yasioruhusiwa na watekelezaji wa amri hiyo ni mgambo. Sasa kama mgambo waliokuwa wanatekeleza amri halali- kosa lao ni lipi mpaka wastahili kufukuzwa kazi?
Tuwafanye nini sasa waliowatoa machinga pale Makoroboi na sehemu zingine?
Nawashauri mgambo hao wafungue kesi ya kufukuzwa kazi kwa uonevu
Wanastahiri kudharaulika.si vizuri kudharau kazi ya mtu
Kwaiyo ukikutwa unafanya umachinga fine yake ni mkungu wa ndizi?kwa sababu alikuwa eneo asilitakiw kuwepo- alikuwa anasaidiwa kupelekewa kule anakotakiwa kuwa; au zilitumika kupata hela ya kulipia fine
kwa sababu alikuwa eneo asilitakiw kuwepo- alikuwa anasaidiwa kupelekewa kule anakotakiwa kuwa; au zilitumika kupata hela ya kulipia fine
kwa sababu alikuwa eneo asilitakiw kuwepo- alikuwa anasaidiwa kupelekewa kule anakotakiwa kuwa; au zilitumika kupata hela ya kulipia fine
Kwani walifukuzwa kwa kuuza ndizi au kumtoa machinga sehemu asiyopaswa kuwepo?Kwaiyo ukikutwa unafanya umachinga fine yake ni mkungu wa ndizi?
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
ninadhani wewe u mpuuzi zaidi- no mpuuzi ni afadhali sana kuliko MWANAHARAKATI ambaye wewe unasifa zote za kuwa.Jibu lako la kipuuzi. Tena wafidie hizo ndizi walizoiba na kula, pia kumlipa fedha za kumkosesha income ya hata mwezi mzima. Ukiwa kwenye cheo/kazini hautakiwi kunyanyasa wananchi.
shs 300,000. kwa Mwanza jijiKwaiyo ukikutwa unafanya umachinga fine yake ni mkungu wa ndizi?
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app