Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

Upuuzi kama ule walioufanya ni wa kuutetea? Heko RC.
 
Kwa nini walichukua hizo ndizi?
 
ninadhani wewe u mpuuzi zaidi- no mpuuzi ni afadhali sana kuliko MWANAHARAKATI ambaye wewe unasifa zote za kuwa.

Aisee unanibambikia sana kisa hasira zako, kaombe mrejeshwe. Pesa za hongo ndizo mmazililia kwa sasa.
 
sheria hairuhusu kuny'anyanya biashara ya mtu bali kuna hatua za kuchukuwa huenda migambo hawakuelekezwa wakajiongoza.Mtu wa karibu alipatwa na adha ya aina hiyo,mwenyekiti wa mtaa,wagambo tuliwahenyesha mahakamani hadi waliuza mahindi kumlipa mhanga.
 
Mbona wamempora ndizi kisha wamemuachia uoni ni wizi ule. Hizi Kazi fanya kwa akili
 
Huwa wanapora bidhaa za machinga kisha wanakwenda jilipa mbele
 
Aisee unanibambikia sana kisa hasira zako, kaombe mrejeshwe. Pesa za hongo ndizo mmazililia kwa sasa.
Mie wala sina hasira ila nawachukia sana wanaharakati
 
Mahakamani mlifungua kesi gani?
 
Ila naona sio sahii,maana inasababisha wamachinga wazidi kudharau kauli ya kupangwa sehemu sahii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…