Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

Hicho ulicho quote umekisoma mpaka mwisho au umechagua paragraph za kusoma.

Je video ya pili umeikiliza?
 
Malengo yao ni yapi hasa ya kufanya military base kila sehemu,ni nini target yake? Harafu unawashabikia watu wanao taka dunia iwe chini yao,
Kuna tatizo gani mtu kuwa na silaha za kujilinda. Wewe ukiwa na mkuki, kisu, panga na hata bastola nyumbani kwako jilani yako atakuuliza kwa nini una panga na shoka.

Kwa hiyo hutaki nchi zinazovamia wenzake ziachwe tu wafanye wanavyotaka.

Wewe mtu akikuvamia nyumbani kwako unataka majilani wasikusaidie?
 
1. Kwanza issue ya denazification.
Je special operation imeisha?
Azov battalion wenye ngome yao kuu pale Mariupol wapo?
Crimea Kuna vita?
Crimea imepata uhakika wa maji.

2.Nato imeongeza Member?
Member mwenyewe ni Finland mwenye watu wasiozidi 5 million yaani Dar es salaam Ina watu wengi kuliko ufin.

Hakuna numerical advantage kwa Wafin kuwa NATO kuliko Wakirene.

NATO walitaka nchi hizi ambazo Zina high population na ni existential threat kwa Russia.

Ndio maana wakaja na maneuver ya Revolution.

Belarus nadhani unafahamu vimbwanga vyake mpaka jeshi la Urusi likawa deployed.

Kazakhstan nadhani unafahamu CSTO walipoingia kuimarisha ulinzi

Ukraine ambapo west walifanikiwa na ndio matokeo ya vita Leo.

Hivyo ukiniuliza Mimi Nato imeshindwa kuachieve it's target ndio maana wakabidi waambulie tudagaa Finland na Uswidi kama Ururuki itakubali.

Member kaongezeka yes, potential yake ni ndogo .

3.Nadhani tukubaliane jambo moja hawa wanaosababisha vurumai kule Belgorod ni western agents kwa kutumia Neo Nzais wenye asili ya kirusi.

Ndio maana kuanzia silaha wanazotumia , uniform gear, vehicle ni western supplied.

Madhara yake Sasa ni kuinfringe Ukraine kuwa ni Taifa la materorist na battle for Kharkiv wanakotokea inapangwa.

Tayari vikosi vya Wagner vimeanza kupelekwa huko na Territorial defence kuundwa.

Chuki za makabila ya Ulaya ndio utaziona kwenye op hii
 
First Republic BankMay 1, 2023$212 billion*

Silicon Valley BankMarch 10, 2023$209 billion

Signature BankMarch 12, 2023$110 billion


Credit Suisse bank hii inatoka Switzerland

Una lingine huwa sipendi mtu asiye na chochote kubisha jambo asilo lijua
Umenifanya nicheke peke yangu. Tatizo la kuokoteza taarifa bila kuwa na uelewa wa jambo halafu unakuja mbio unadai mabenki USA yanafilisika. Kwenye uchumi uko uchi kabisa. Unatia aibu mbele za kadamnasi.

1. Huenda hujui historia ya First Replic Bank, Silicon Valley Bank na signature Bank. Huenda pia hujui mahusiano ya hizo Bank tatu(3). Tupe link inayoinyesha kuwa sababu za kufilisika kwa hizi bank ni Vita ya Russia na Ukraine. Jielimishe ujue ndo uje hapa tujenge hoja.

2. Unataka kituambia kuwa Bank yoyote iki collapse sababu inakuwa ni kushuka kwa uchumi wa nchi. Kwa nini isiwe sababu ya kiutawala (management) au wateja kujitoa?. Kwa taarifa yako kuanguka kwa hizo bank hakujasababishwa na vita ya Ukraine na Russia. Rudi ujisomee ujue sababu zilizofanya hizo bank zi collapse ndo uje hapa.

3. Je, kuanguka kwa Bank ya Mkombozi, Twiga Bancorp na zingine kulisababishwa na kuanguka kwa uchumi wa Tanzania? Je, CRDB, NBC, NMB, KCB, BOA, Stanbic etc mbona hazijafirisika?. Hebu tujibu hilo swali ili tujue kama kweli una uelewa na Biashara ya mabenki.
 
Mkuu kuna mambo katika hoja zako unachanganya ili tu ku justify utetezi wako.

1.NATO hakuwa na malengo ya kuongeza, Russia ndio alikuwa na malengo NATO asiongeze member anaepakana nae lakini kinyume chake imekuwa hivyo. NATO katumia opportunity tu ambayo isingetokea endapo Russia asingeanza hiyo SMO.

2. Nguvu ya NATO si katika namba ya population ya nchi bali katika number ya members. Kwani NATO anauzia silaha nchi na sio wananchi lakini zaidi anajiendesha kwa bajeti ya kila nchi mwanachama. Huyo Belarusi unaetolea mfano nae ana population ya 9M tu.

3.Mpaka muda huu kuna uhalali wa kuita mlengo hayajafikiwa labda kama tutatumia kinga ya Operation bado haijaisha.

Labda tujipe muda tutakutana tena hapa uzima ukiwepo.
 
Anarukaruka. Akiulizwa hana uwezo wa kujibu badala yake anarukia kitu ambacho hata hakina uhusiano na hii mada. Hiyo ni mr. Porojo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1)Nini sababu iliyofanya zianguke?
Tena kwa kufuatana?
Kwa nini kimetokea kipindi hiki Cha special operation?
Kwa nini si wakati mwingine?
Unajua athari zake kiuchumi kwa America?

2)Mbona umeiacha Suiss Credit bank?
Kwa nini ilianguka?

Kwa nini wadhani isiusishwe na Vita ya Mrusi na Mkirene?

Sasa jibu maswali yangu sipendi uruke ruke.

3) umejaribu kugusa Tanzania na kuanguka kwa baadhi ya bank?
Je, zimeanguka kipindi Cha special operation ya Mrusi?
Kama hapana kwa nini huifananishe na bank tajwa?
Unafahamu sababu ya hizo bank kuanguka?
Unazijua sera ilizozifanya sekta ya. fedha Tanzania kuyumba?
Kwa nini kwa Sasa imeimarika?
 
Unauliza sikukuu ya mashoga. Kumbe na wewe unasuguliwa matakoni. Naona kila mara unawashwawashwa matakoni.
Angalia ulichoandika hapa
Sweden naye muda si mrefu ataruhusiwa kuwa mwanachama wa NATO.
NATO ni chama Cha mashoga wakiongozwa na Marekani ndio maana Juzi Museven kawapiga PiN atachinja mashoga wote Uganda, subiri siku yenu ya kusherehekea alafu msherehekee mkiwa Uganda maadhimisho ya mwaka huu si yanafanyila Israel siku ya MASHOGA Duniani na bendera yenu ya Upinde mnanuka kinyesi
 
Niambie mkuu nimechanganya wapi?

1) Aliyesema nani kwamba NATO hawakuwa na malengo ya kuongeza?
Victoria Nuland alikuwa anafanya nini maidan square?

Kwamba unavyodhani mchakato wa kuingiza Ufini na Uswidi ulianza Jana?
Hizi nchi huwa zinashiriki kwenye mazoezi yote ya NATO.

Kilichokosekana ni political will? Na hofu ya kuvamiwa na Urusi tu.

2)Ndio maana ndani ya Nato Kuna nchi zenye nguvu kwa sababu ya population na uchumi.

Kaliuthania au kafinland hakawezi kuwa na nguvu kubwa ya maamuzi kushinda Uk, France au German.

3. Yapo malengo yaliyofikiwa kama Donbas kuwa milele sehemu ya Urusi, Zaphorizia na Kherison kuwa sehemu ya Urusi.

4. Alternative payment apart from swift imeshaanzishwa

5.Amani kwenye maeneo ya muda mrefu imefikiwa mfano Yemen.

6.Maelewano ya Iran na Saudia

7.The world is shifting towards the East

8.Cheap Russian gas inakwenda Mashariki na Mataifa machache ya Ulaya lazima yalipe kwa kutumia Rubble's.
 
Huwa nasema mara kwa mara shule za kata zimetuharibia taifa.

Hizi ndo products zake na wengi wao waliibuka na miswaki saba (7F). Ni mapoyoyo yasiyojua kitu na hayataki kujifunza au kuelimishwa. Yakishakaririshwa jambo yanabaki kupoga poroja bila kuwa na tafakuri.
Je, Kuna takwimu alizoweka?
Kuna namna tofauti ya kumjibu mtu mjinga.

Kama hajaweka takwimu kwa nini hadai takwimu?

Takwimu zinapingwa na takwimu anahitaji za upande wangu ili iweje?

Wewe na yeye wote ni kundi moja.
Huna lolote wewe poyoyo. IQ yako ndogo sana.
 
Umetumia kipimo gani kupima I.Q yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ungekuwa na takwimu ungerukaruka hivo. Threads zingine msiwe mnaziparamia. Zinahitaji great thinkers wanaojua mambo siyo porojo.
Sijauona U'great thinker kwenye uzi wako,, nilichoona ni "MAHABA NIUE"

Ili nikutenge na WADAKU Ilitakiwa utueleze ni ni hasara kiasi gani RUSSIA wanapata baada kuteka Zhapholizia, yenye mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme wa nyuklia,,

Pia utuonyeshe faida wanazopata washirika wa Nato, kwa kutekwa mtambo huo na RUSSIA. Ili tuamini kwamba RUSSIA amepata hasara kwenye eneo hilo.

Ulitakiwa utueleze kwa "Data" ni kwa kiwango gani RUSSIA wanapata hasara kwa kuiteka Mauriopol yenye bandari na viwanda lukuki,, vilevile tuambiwe UKREIN na hao wanaojiita Nato wananufaikaje na utekaji huo.

Mpaka sasa Russia, anamiliki (kwa njia ya utekaji) eneo la Donabas lenye utajiri wa chuma gas dhahabu na ardhi mulua kwa kilimo cha Ngano na Alizeti, ambayo ni mahitaji ya lazima kwa ustawi wa uchumi, hebu tuambie kwa takwimu ulizonazo Russia bado ni FANFA kwa kuirejesha hiyo Ardhi ndani ya HIMAYA yake,,!?



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii misumali hawezi kujibu ataishia, kukutusi
 
Jibu nilichokuuliza. Porojo ambazo ni nonsense unatuonyesha jinsi ulivyo poyoyo.
 
Jibu nilichokuuliza. Porojo ambazo ni nonsense unatuonyesha jinsi ulivyo poyoyo.
Sasa kwanini ujiite Fanfa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vitu basic kama hivyo hujui?

Kwa nini hayo mabenki yaanguke kwa wakati mmoja tena kipindi Cha special operation ya Mrusi?

Kwan nini Suiss Credit bank ifilisike?
Kwa nini itokee kipindi hiki hiki?

Kuna kiwanda Cha Ujerumani kikubwa Ulaya nzima Cha chuma nacho kimeshindwa kujiendesha, sababu ni nini?
 
Hili ndio tatizo la hii nyuzi ya kidanzwi
Mimi nimesema siraha zao bora wamekwisha peleka, Sasa wewe unayehona hajapeleka ndio zitaje?

Burden of proof haipo kwangu
Ok.kiswahili naona mgogoro,basi andika kiingereza au kirusi ili tuelewane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…