rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Pole sana. Huwezi kuwa na vyote. Hapo unaganga njaa na elimu bado hakuna. Ushauri ni kwamba kama unapata mlo kwa siku, we pambana tu maana elimu huna na maisha huna. Najua inakuuma lakini pole
Kwa iyo umekubali kuwa usomi sio ishu...ishu ni mtaa unakupokeaje baada ya usomi wako
Au sio ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tu. Wewe niajiri mimi sina tatizo! Nimushakueleza kuwa shida zako ndio mshahara wangu! Ninajiamini na taaluma yangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi...nyie wasomi ndo mna maisha magum sana uko mtaan.
Lakin msijali subirini kipind cha pili pengine mtasaidiwa na upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ww una wivu ka jinga laoTza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE COMFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwani inakuuma nini mtu akiwa Msomi?
Na akitafuta maisha inakuuma nini?
Unazdi kabsa kwanMziki wa school of law unauzidi mziki wa
Vetenary medicine pale SUA
Unazidi mziki wa Coet pale UD
Unazidi mziki wa Medicine pale MUHAS
Acha kujipa sifa zisizo na kichwa wala miguu
Wajiite tu hakuna tatizo!!Hapo sasa. Lakini si wamesoma?
Kwani wakijiita Manesi Wasomi kuna shida gani? Maana wao ndiyo wanaokoa maisha ya watu
kwa Tanzania ndio kuna ujinga huo wa watu wa fani fulan kulinga sana na kujikuta miungu watu hata kujifananisha na hard particles like..ston/#&@+
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemkumbuka mpenz wang mmoja alikuwa mwanasheria halaf muhaya akakutana na hiki kichwa mwenyewe alikubali mziki huu
Haina shida. Ninajiamini.Sio shida zangu tu..wew mwenyew unakuwa hauna tofaut na mchonga majeneza ambaye dua zake watu wafe biashara itoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hainiumi ila mada inaongelea nyie watu wa sheria kujiona mpo juu kuliko wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tofauti kati ya Graduate Engineer na Profesional EngineerICA, WPE, OPE FE siyo mchezo. Ukitoka hapo lazima unakuwa Learned Advocate.
Kama vipi na wengnine wajiite learned teacher, learned engineer, leaned nurse
Hapo sasa. Lakini si wamesoma?
Kwani wakijiita Manesi Wasomi kuna shida gani? Maana wao ndiyo wanaokoa maisha ya watu
UmeonaeeIla kweli hawa HK.. wanaringa kweli na ni waongeaji sana