Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Aaah wapi...nyie wasomi ndo mna maisha magum sana uko mtaan.
Lakin msijali subirini kipind cha pili pengine mtasaidiwa na upepo
Pole sana. Huwezi kuwa na vyote. Hapo unaganga njaa na elimu bado hakuna. Ushauri ni kwamba kama unapata mlo kwa siku, we pambana tu maana elimu huna na maisha huna. Najua inakuuma lakini pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia

Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]

Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE COMFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.

Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.


Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ww una wivu ka jinga lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa. Lakini si wamesoma?

Kwani wakijiita Manesi Wasomi kuna shida gani? Maana wao ndiyo wanaokoa maisha ya watu

Manesi hawahitaji hizo sifa. Kwanza wao ndio the most trusted profession in the World.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom