Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
- Thread starter
-
- #61
Mwambie kijana huyo aache majivunoMziki gani labda?
Acheni kujipa moyo nyie hkl
Kukariri kesi na vifungu vya sheria ndio unaita mziki? Mlikua mnatisha tisha watu wakati nchi haijapata wasomi, saivi watu wamesoma sana hata hiyo sheria yenyewe tumegundua haina lolote maana wakimaliza nao wanarudi kitaa kuhangaika ajira kama fani zingine hawana kipya chochote cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
UlimfanyajeNimemkumbuka mpenz wang mmoja alikuwa mwanasheria halaf muhaya akakutana na hiki kichwa mwenyewe alikubali mziki huu
Kwani kuna taaluma inafanya kazi bila Afya au bila Elimu?Ndiyo hivyo. Taaluma yetu inaingia kila taaluma. Hakuna taaluma inafanya kazi peke yake bila kuhusisha taaluma ya sheria.
Hajua kashazoea kukariri madesa yake tuUnajua tofauti kati ya Graduate Engineer na Profesional Engineer
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mwanasheria msomi, as if wengine hatujasomaTza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao kipindi nipo chuo wanajionaga wanasoma course zote wanajikuta wajuaji sana yani
Kwani kuna taaluma inafanya kazi bila Afya au bila Elimu?
Acheni kujiona keki nyiee
Sent using Jamii Forums mobile app
hao kipindi nipo chuo wanajionaga wanasoma course zote wanajikuta wajuaji sana yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unateseka? Kama unateseka kasome na wewe ujiite learnedTza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasheria watachomwa Moto Sana ndo hawahawa ambao hata ukiua wanakwambia uwaambie kila kitu then wenyewe wanatengeneza mazingira ya wewe kuchomoka.pumbafu Sana Hawa watu
Kwani unateseka? Kama unateseka kasome na wewe ujiite learned
The noble profession.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulimfanyaje
Mimi nilimpiga makofi nikamwambia nenda kokote na visheria vyako vya kata naleta international lawyer[emoji1787] alisanda now kila mtu na time zake
Sent using Jamii Forums mobile app
If they are jealousy let them call themselves learned brothers and sisters.. There is no problemHawa laymen-minor wanashangaza sana.
By the way, kila mtu ajiite Msomi basi, kwani kuna shida?