Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Mziki gani labda?
Acheni kujipa moyo nyie hkl
Kukariri kesi na vifungu vya sheria ndio unaita mziki? Mlikua mnatisha tisha watu wakati nchi haijapata wasomi, saivi watu wamesoma sana hata hiyo sheria yenyewe tumegundua haina lolote maana wakimaliza nao wanarudi kitaa kuhangaika ajira kama fani zingine hawana kipya chochote cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie kijana huyo aache majivuno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemkumbuka mpenz wang mmoja alikuwa mwanasheria halaf muhaya akakutana na hiki kichwa mwenyewe alikubali mziki huu
Ulimfanyaje
Mimi nilimpiga makofi nikamwambia nenda kokote na visheria vyako vya kata naleta international lawyer🤣 alisanda now kila mtu na time zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia

Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]

Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.

Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria msomi, as if wengine hatujasoma

Kwani unateseka? Kama unateseka kasome na wewe ujiite learned

The noble profession.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasheria msomi, as if wengine hatujasoma

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo kwamba hamjasoma, isipokuwa sisi wanasheria ni Wasomi.

Hata ninyi jiiteni Wasomi basi. Mfano, Nesi Msomi, Kuli Msomi, Daktari Msomi, Historian Msomi.

Hakuna shida.

Kwani ninyi kinawakera nini sisi kujiita Wasomi?
 
Back
Top Bottom